Tunauza mayai ya bata mzinga.
Bei zetu: Bei ya yai moja Tsh 4,000/=. Trey moja 120,000/=
Namba za mawasiliano: 0762 355 114. Number za WhatsApp: 0762 355 114
Mahali tulipo: Mkoa wa Tanga, Wilaya Tanga Mjini mtaa wa Pongwe Kusini
Karibuni sana
Hizo taratibu mnazijua nyie. Tushawachapa viboko. Tuchawasimamisha masomo kwa muda na wakirudi warudi na hizo 200k .
Kama hamjatizika nendeni kunakofaa kutafuta haki mkazitafute
Taratibu za sheria zipi. Sheria zenyewe zakucopy na kupest kutoka kwa mkoloni.
Madogo ile azabu ni ndogo sana. Nafikiri wote watupwe jena mienzi sita kwanza wakitoka huko wapate akili
Mkubwa uko sawa sawa kabisa. Lakini inategemeana na bizaa zenyewe. Kwa mfano ukianza na kuchi kuhusu bei inategemeana na ubora wa kuku mwenyewe.
So ni vyema kama mtu yuko interested then anatumiwa picha za koo za kuchi na bei zake.
Vile vile kwa bata , hapo kuna bata wa koo mbali mbali.
And...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.