Recent content by Makame

 1. Makame

  "Maybe It's Time to Talk to Your Armed Opposition" - Ugandan Yoweri Museveni Tells Rwandan Kagame!

  I doubt authenticity of this article Was the reporter tapping kk conversation ? Was the reporter present during the .pk inner circle meeting ?
 2. Makame

  Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

  Wana Jamvi; tafadhalini leteni habari za huko Mahakamani
 3. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Unachekesha Almeida Unaandika kwa ushabiki
 4. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Fanya hayo ya Misri Almeida. Wewe umeshindwa kazi! Na kama kivuli ni wewe na Wakora wengine wanaojidai kuingia Darasani kuwadanganya watoto; MUNGU ATAWALIPA UDHALIMU WENU Muwajibike nyinyi kwanza kabla hamjamuwajibisha mtu. Rais ana mandate mpaka 2015! Nimekwambia Serikali imetangaza kutanua...
 5. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Swali limejibiwa; hujataka tu kukiri! Nimefanya mengi; moja wa mambo niliyofanya ni KUKEMEA UOVU WA WALIMU WAKORA WANAOITUMIA CWT VIBAYA ILI KUATHIRI TAIFA LETU
 6. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Suala la 200,000 kutotosha na kwa ujumla mazingira ya kazi ya kada ya walimu nimekubaliana na wewe na wengine tangu mwanzo kuwa malipo hayatoshi na mishahara pia. Nadhani utakubaliana na mimi kwamba kuna tatizo lililojitokeza la walimu wa Voda Fasta (UPE) na ndio mzizi wa yote haya. Nadhani pia...
 7. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Una uhuru wa kuomba radhi au kutoomba mheshimiwa Almeida. Mimi sio Government agent. Kunufaika na mfumo inategemea. Mimi nina biashara zangu; nalipa kodi na nchi iko salama. Biashara zangu hazijawahi kuvamiwa na polisi kuja kunipora au kuniibia. Hivyo sioni udhalimu wa Serikali na siwezi kusema...
 8. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Kama uadilifu ni kuunga Mkono vitendo vya kuhujumu elimu na watoto wetu; basi nashindwa kuthibitisha. Ufisadi ni kule kula fedha za wengi kwa manufaa ya mlaji na wakati uleule kuwanyima hao wengi wanachostahili. Mfano Mzuri sana ni ulaji wa Tshs Milioni 240 na viongozi wa CWT. Na kwenye mfano...
 9. Makame

  Karume mpya acharuka

  Huyu mheshimiwa hassan nassoro moyo ameanza kuchanganyikiwa nampa heko muheshimiwa mohammed seif khatib kwa taarifa yake kuhusu pafmecsa bungeni jana
 10. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Kama wewe unahisi madai yako muajiri hatekelezi; kwa nini unang'ang'ania ajira hiyo? Hawajatekeleza madai sio kwa kumkomoa mtu; ila ndio uhalisia wa hali kwa jinsi mambo yalivyo. Kufanya unavyotaka ni kuhujumu taifa, na wasio na hatia. Kama unamuamini Mungu; hakika kwa hili iko siku ya hukumu na...
 11. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Mimi ni Mtanzania tena kindakindaki; naishi Tanzania; kwa sasa niko Singida; ila naishi Mkuranga. Ninahangaika sana na maisha na nakereka na mambo ya ufisadi; hususan TANESCO; Siasa ni mfumo wa maisha unaotumika kuongoza au kuchangia uongozaji wa dola; Sikuleta kwa sababu sikuwahi kusema ipo...
 12. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Kwani Tonnyalameida Mumelazimishwa kukaa na ajira? Kama hamulipwi vya kutosha si muache kazi ijulikane hakuna Mwalimu kuliko kupotosha jamii idhanie kuna mwalimu kumbe ni kiumbe aliyeamua kuchakachua watoto wa walipa kodi kwa mgogoro baina yake na mwaajiri wake? Soko huria Almaeda
 13. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Nimekujibu hoja zote Mheshimiwa; na kamwe sitoacha hata moja pending
 14. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Alikua ameenda kwenye miradi yake, Jumatatu tunaenda kwake kufanya General Cleaning, Jumatano kila mtoto anakuja na kipande cha kuni na Ijumaa kila mtoto anakuja na yai, Jumanne tulikuwa kila mtoto lazima anunue andazi kwake na alhamisi hivohivo
 15. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Mheshimiwa Mzalendo Haikuwa hivyo unavyodhani and I am sane; nasema hivyo kwakuwa Rule of Law is the foundation
Top Bottom