Recent content by Makambo zali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Godfrey Wasonga Jitafakari

    halafu ni raia wa kenya,darasani alikuwa anaongoza kwa kukamatwa,
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti uliwahi kubaini kuwa watanzania wana IQ ndogo

    hawajadilo bajeti wanajadili malaya wa. sinza waliozalishwa,machangudoa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nikipata sababu za kitaalam na zenye mantiki kwanini Rais Magufuli hapendi kusafiri ng'ambo nitashukuru

    kuna betri katika pampu ya kimiminika cha mwilini,inashauriwa kisiwe karibu na mivutaano ya kisumaku,kinaweza kuvutwa kikazima
  4. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti uliwahi kubaini kuwa watanzania wana IQ ndogo

    mtu kama jingalao
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watoto waliotelekezwa kupatiwa bima ya afya

    wapiga dili waliokuwa wanaasemwa vibaya mwanzoni eti wafanyabiashara sijui nini,mbona kondakta anawaingiza ndani ya serikali kiaina
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti uliwahi kubaini kuwa watanzania wana IQ ndogo

    product ya zama za mawe,digitali haiwezi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti uliwahi kubaini kuwa watanzania wana IQ ndogo

    ndio maana tulipewa eneo kubwa la nchi ili tuokote okote,ukubwa pua si wingi wa kamasi, nawaza kama mkoloni angeipeleka kilomanjaro kenya,kagera uganda,mara iende kenya,hii nchi yangebaki maboga tu, mikoa inayotoa changamoto ni hiyo tu,kisiasa,kiuchumi,kielimu,ukienda ktk vyuo vya elimu ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge haupo kwenye ilani, sie tulinadi mradi wa gesi. Huu tumedandia tu

    hii ni serikali ya magufuli sio ya ccm,hata nape kuna kipindi alikuwa akisema hivyo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini USA baby Nyani Ngabu anaandamwa sana humu?

    hahaha ndio maana anakomaa katika nchi ambazo sheria inaruhusu Nyani Ngabu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini USA baby Nyani Ngabu anaandamwa sana humu?

    huyu akirudi bongo ndio dizaini ya dk shika,hii misukuma shida sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini USA baby Nyani Ngabu anaandamwa sana humu?

    jamaa ashakuwa baby wa mtu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mgeni rasmi kusimikwa kwa Askofu Mkuu mteule Askofu Isaac Amani Masawe jimbo kuu la Arusha

    kesgo nafannya uzinduzi wa banda langu la kuku
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi jasho la Fred Mpendazoe lilivyopotea mithili ya njiwa wa uchawi

    ana kichwa kikubwa sana,kama tenga la nyanya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mgeni rasmi kusimikwa kwa Askofu Mkuu mteule Askofu Isaac Amani Masawe jimbo kuu la Arusha

    baada ya kuzima wanaharakati,wanahabari,wapinzani,akajua kamaliza, hakujua anaowazima pia ni waumini mahalli fulani limeibuka kanisa,akizima huku kule panaibuka........ Herode alimsaka mtoto Yesu ili ammalize,Mungu akamficha Misri,Mungu kaificha demokrasia kanisani,isiuwawe
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa

    mapato tatizo,atafukuza kila mtu na mwisho atajifukuza mwenyewe
Back
Top Bottom