Recent content by makambako

  1. M

    Looking for a soul mate..this is serious

    yes kaka...you are right au sio...You must be an expert in this area and it seems you have taken special interest kutuelimisha through this thread of mine. Appreciated Consultant
  2. M

    Looking for a soul mate..this is serious

    Whatever man. Am not trying kukudanganya chochote so I don't know what you are talking about..
  3. M

    Looking for a soul mate..this is serious

    Very well written, I got nothing to add. Thanks
  4. M

    Looking for a soul mate..this is serious

    Kila mtu ana mapenzi yake kaka
  5. M

    Looking for a soul mate..this is serious

    Am doing both, naangalia watu waliopost lakini pia nimeweka post yangu ili kupanua wigo zaidi, if you know what I mean. its so hard to meet Tanzanians hapa nilipo ndo mana
  6. M

    Looking for a soul mate..this is serious

    I edited the post to include my email address. Thanks for your thoughts
  7. M

    Looking for a soul mate..this is serious

    That means you don't have any interest, right?? which is totally fine
  8. M

    Looking for a soul mate..this is serious

    Hapana simaanishi anisubiri miaka 4. ila mipamgo yangu ya baadaye ni kurudi kuishi Tanzania in 4 years. Suala la yeye kuja huku hayo ni masuala ambayo yata kuwa discussed baadaye, tukishaonana na kuona kuwa we have chemistry and we both want to be with one another. Narudi Tanzania mwisho wa...
  9. M

    Looking for a soul mate..this is serious

    Ni pazuri lakini I want to be close to my family, wazazi wangu wanazeeka and I want to be there for them kwa sababu they were there for me all my life. After all nyumbani ni nyumbani au sio??
  10. M

    Looking for a soul mate..this is serious

    Mambo vipi. Mi kijana wa miaka 30 natafuta mpenzi, mchumba mzuri na mwenye bidii ya maisha. Elimu yangu ni College Degree na sasa hivi am working on my Masters. Elimu yako iwe anagalau kidato cha sita na uwe mwenye bidii ya kujituma kimaisha. Sijali dini wala kabila ili mradi turidhiane tu. Kwa...
  11. M

    Natafuta mwenza

    Hii inaweza isiwe njia sahihi ya kutafuta mwenza wa maisha kwa watu wengi sana kwenye forum hii lakini mimi naomba kwa sasa niitumie baada ya kutumia njia nyingine nyingi tu na kukumbana na wasichana wa ajabu sana... Sifa zangu Elimu ya chuo kikuu, degree ya kwanza. Dini muislamu...mimi...
  12. M

    Naombeni CV ya Kapteni Komba, wa TOT

    Komba moungo sana anatakiwa atuelezee kuhusu iyo diploma yke ya sanaa aliyoipata kutoka Bagamoyo mimi nna uhakika kwa asilimia zaidi ya 100 huyu bwana akuwahi kusoma kile chuo...I have lived 15 years in that college na sijawaho kumuona komba akisoma tena katika miaka iyo...several times alikuwa...
Back
Top Bottom