Mikwara tu hiyo tar 20/01/2020. tunaendelea na mawasiliano bila namba za Nida wala kitambulisho. Binafsi nitaenda NIDA watakavyorekebisha usumbufu wao.
Yani kirahisi tu watu tutumie namba ambayo hatuijui maana yake kwenye maswala ya msingi sana kama hela??? you can't be serious dude. tuambie hiyo namba maaana yake na madhara ya kuitumia hiyo namba na pia umeipata wapi a.k.a nani kakupa. who is the guy behind the number??????? otherwise I can...
Shukrani kwa kutuvutia hicho kimoja! ila vipo vitatu.... viwili ni hivi hapa, labda ukipata nafasi. Unaweza kutusaidia pia.
● Lions on the move: Realising potential of Africa's economy. Kimeandikwa na mzee baba Acha Leke wa Mckinsey.
●Pia Ashish Thakkar huyu dogo bilionea wa uganda ana kitabu...
Yap Lodrick! Sio mbaya sana ingawaje utakuwa umeongeza risk kidogo. "Pro trader wanakwambaia protect your capital in any way". but the most important ni SL.
Pole, naona tunajifunza the hardway, but one of these days tutafanya vyema! Sio vzr sana ku trade ule muda news inakuwa released, ni vyema ukafunga pisition.... then after news u join the train. What gives account to fundamental analysisis is the "the market reaction to news and not the news...
ofcourse yes...hata 4hrs, Daily kama upo vzr. Lakini Weekly na Monthly kwanza inabidi uwe na Margin ya kueleweka mana pullbacks na rally za katikati hapo zitakutoa nje tu. Pia uwe na knowledge ya kutosha. infact unaweza trade long-term ila kwa newbie its not appropriate at all.
long-term kwako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.