Hii nchi ina watoto wa Mungu na wa shetani. Kila mtu afate imani ya baba yake tusilazimishane. Ina maana ktk Taifa hakuna wenye maono/werevu? Sitaki amini kama Taifa limekuwa Na mbu3 wate!
Ukipandisha kodi kwenye mafuta tayari umeongeza gharama za kuishi! Ina maana huko mof wamejaa wachumi uchwara tu. Basi wakati wa kutunga bajeti wawe wanatushirikisha tuwe tunawapa mawazo! Nchi ina bahari kwa nini mafuta yetu yawe Juu kuliko nchi zote ktk afrika?
Ila Kweli Tanesco Nyakato Mwanza sijui kuna shida gani! Mh. Waziri wewe tunakujua ni mchapa Kazi tusaidie. Yaani surveyor kumtoa ofisini aje kukukagua bila rushwa haji! Haya ukishalipia kuja kukuunganishia bila rushwa utakaa hivohivo! Maisha gani haya? Mbona sehemu nyingine wako tofauti sana Na...
Yaani maofisini ndiyo majanga! hawajui kitu! Hata huko Kazi ni hiyo2 kwenda na maboss wao. Wakati wote ni ruhusa naumwa Mimi/mtoto/sijisikii kufanya Kazi/tumbo la chini linaniuma/naenda kupima chango sijui linataka mtoto nk.
Ndiyo maana weupe hawatakagi kabisa kuajiri Hawa jamaa! Halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.