Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 475
- Thread starter
- #21
Huyu Mwamba mtamuelewa tu Mda ni dawa, Haya Mambo yanayoendelea Tanesco ni aibu kwa nchi yenye uhuruWote mliokuwa kwenye kundi lake la watu wasiojulikana, mnadhani mkitaja hizo sababu mtaficha uovu wake. Ni hivi alikuwa dhalimu na muovu fullstop.