Recent content by makago

  1. M

    Force Account inawamaliza mabosi wa Serikali, Waziri Mkuu anashuhudia madudu ya kutisha

    Nakuunga mkono mkuu. Kama tukiwa wazalendo kweli huu mfumo ni mzuri na unatufaa sana kama siasa ikiwekwa kando na uzalendo kutangulizwa. Pia kufanyia mayoress vitu vidogo vidogo
  2. M

    Mchakato wa kuwalipa wenye vyeti feki wakwama

    Bahati nzuri kwa mtu ambae hakuwa na document mkononi anakwenda masijala na anapatiwa viambatanishi vyake vyote. Najua mapungufu yanaweza kuwepo ila naelezea kupitia halmashauri Meru kwa namna nilivyoona
  3. M

    Mchakato wa kuwalipa wenye vyeti feki wakwama

    Ndiyo maana nikasema, watu hawa wameshaanza kulipwa na walipaji ni hiyo mifuko ya jamii ndio inahusika kama unavyosema mkuu. Ingawaje kwenye malipo kuna watu wa,eanza kazi mwaka mmoja na daraja moja ila kuna katofauti kidogo kasiko zidi laki kwenye hayo malipo
  4. M

    Mchakato wa kuwalipa wenye vyeti feki wakwama

    Kama unatambua wameshaanza kulipwa ni jambo jema. Na hakuna mahali nimeandika mnaandika Kibwege, labda kosa langu ni kuandika mfanye utafit. Any way, nimekuelewa mkuu
  5. M

    Mchakato wa kuwalipa wenye vyeti feki wakwama

    Wakati mwingine ni vema tukawa tunafanya utafit kabla hatujatuhum jambo. Wameshaanza kulipwa, kati ya watu karibu kumi walioondolewa kazini ninaowafaham, sita wameshalipwa kuanzia wiki mbili nyuma ingwaje fedha zinaingizwa acc kwa siku tofauti tofaut. Na wanalipwa fedha waliyokatwa wao tu wakati...
  6. M

    Lowassa asababisha timua timua ITV

    Hiv Lowasa anayetajwa c huy ambaye kla sik tunaangalia na kuhudhuria baadh y mikutan yak? Au mleta mada ana lowasa wake?
  7. M

    Yaliyojiri Mikutano ya Mgombea Urais Dk.Magufuli, Kwimba, Magu, Misungwi na Igoma

    Sawa nakubaliana nawe. Sasa waambie waache na kufanya kampen za kubeba watu na malor kujaza mikutano yao si washashinda?
  8. M

    Aise kumbe Mwanza si ya Ukawa?

    Halaf weng walikuwa na sare za kijan na njano km wanachuo wa chuo cha MAFISAD! Mchana ccm usiku...
  9. M

    TBC 1 kuonyesha makala za Wizara ya Ujenzi, sio kumnadi Magufuli?

    Maadil y uchguz 2015 4.4:1(g), tume y uchguz itaratib matumiz y vyomb vya habr vya uma il kutoa fursa sawa
  10. M

    Mgombea wa ccm afariki baada ya kushindwa uchaguzi

    Khaaa! sasa alitaka mwenzake ndo ampelekee shida yeye! MAGAMBA bwana. mbona kazi ipo octoba
  11. M

    Hongera Anne Makinda

    Aka! ni nini sasa hik?
  12. M

    Joseph Machali mbunge wa NCCR KASULU ang'aka Bungeni

    Tujuzen vizur c tusio kwenye tv
  13. M

    Nimekata tamaa na vyama vya upinzani naenda CCM

    Utahama na watu wako!! una watu gan ww. ebu tuambie utahama nao lin ili tuone nguv uliyonayo.
  14. M

    Kikwete: Muda wa kampeni ya katiba bado

    Yah,huyu ndo rais wangu. Nasikia-ga kuna 'BAN' Ila sijui maana yake.
Back
Top Bottom