Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,205
- 5,276
Mwana Mama aliyegombea ujumbe wa serikal za mitaa,kupitia ccm,mtaa wa Nyerere B,kata ya Mabatini jijini Mwanza,amefariki Dunia Jana Bugando Hospital.
Chanzo cha kifo chake ni kushindwa na shoga yake aliyegombea kupitia CHADEMA ambapo marehemu aliangua kilio Mara baada ya matokeo na kuanguka chini kisha kuzirai,na kukimbizwa hospital ambako amelazwa toka Decemba mwaka Jana..ambapo presha ilikuwa ikipanda kila amwonapo shoga yake aliye mshinda huku akidai kutokuwa tayari kupeleka shida zake kwa kiongozi ambaye ni shoga yake mpaka mauti yalipomfika Jana.Katika uchaguzi huo CDM walinyakua viti vyote mtaani hapo