Kuna vijana humu hawajitambui (nafikiri wanatumwa), inabidi wafungue macho maana nchi imeshabadilika sana hii, soon wataumizwa wakati wanaowatuma wameshakimbia. Nimekaa palee...!
Hii nchi kwa kupika taarifa, eti wananchi 117,000! Una uhakika na taarifa yako? Serikali ingekuwa makini ingeenda kujiridhisha na taarifa hizi!
Mi naamini ni za kupika!
Masikini tz, yaani tumekuwa wajinga kiasi hiki? Cherehani, machine ya kusaga, kutyatua tofali navyo ni viwanda?
Mwalimu aliacha viwanda vingi, Sasa hivi wanafugia mifugo na kutoa chuma chakavu! Basi bhana...
Jamaa alibishana bungeni hadi kaitwa tumbili! Yaani anajua kung'ang'nia huyo kiumbe! Haya mambo anayokazania ndiyo ukoloni mambo Leo kukabidhi mali za nchi kwa watu binafsi. Si ndiyo mambo kama ya bandari, Kuna faida gani pale? Bandari zote baharini, maziwani, mitoni mmekabidhi, mtu mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.