Recent content by Majura digital

  1. Majura digital

    Kubadilisha engine na gearbox ya Mitsubishi RVR

    Nipo naifanyia utafiti hio gari natamani kuinunua . Una vp kaka una uzoefu nayo?
  2. Majura digital

    Kubadilisha engine na gearbox ya Mitsubishi RVR

    Kaka. Habari . Samahani niliona kua ulipata changamoto na gari yako ya RVR. Vp ulifanikiwa kupata spare? Mimi nilitamani sana kununua hio gari RVR ya Mwaka 2011 kumbe zinachangamoto
  3. Majura digital

    Naweza kusoma tena Degree ili niipandishe GPA?

    Mr Kiwale hapo najua lengo lako, hapo unatakiwa kusoma degree ingine upya hebu nipigie 0686590404 nikupe idea
  4. Majura digital

    Wachina bwana: Wameiiga Tesla Model X kwa robo bei

    Hii U8 ni balaa hua inaogelea kwenye maji kama kambare 🤣
  5. Majura digital

    Mwenye uzoefu na Honda HRV 2001

    HABARI WAKUU. Samahani nataka kununua hii gari HONDA HRV ya Mwaka 2001 . Naomba kuuliza mwenye uzoefu (experience)na Hii gari anisaidie mawazo.
  6. Majura digital

    Msaada: Ni vigezo vipi vinahitajika ili kuwa Mkufunzi wa Chuo?

    Ili Kuwa Mkufunzi wa Chuo cha Ualimu sharti la kwanza unatakiwa uwe na cheo cha Muundo kinaitwa MWALIMU DARAJA 11 C na daraja la mshahara liwe TGTS E na Elimu uwe na Bachelor degree ila ukiwa na Masters ni vizuri zaidi kwan Masters ni (added advantage) . Sasa baada ya kuwa na sifa hizo unaandika...
  7. Majura digital

    Importation ya Memory cards Na Flash

    Habari Wadau! Naomba idea ya namna ya Kusafirisha Memory Card na flash drive kutoka China. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom