Kubadilisha engine na gearbox ya Mitsubishi RVR

Nitaangalia hali itakavyokuwa na nitazingatia ushauri wako.
Kaka. Habari . Samahani niliona kua ulipata changamoto na gari yako ya RVR. Vp ulifanikiwa kupata spare? Mimi nilitamani sana kununua hio gari RVR ya Mwaka 2011 kumbe zinachangamoto
 
Mkuu, changamoto moja tu inataka kukutoa mchezoni?
 
Back
Top Bottom