Recent content by majoto

  1. majoto

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

    Wanawake weusi wa kizenji ndio wanaoongoza kutumia mikorogo waonekane waarabu.... wakivua yale mabuibui utakimbia wana mabaka kama kenge
  2. majoto

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

    MC bila harusi watauza suti zote.... maana harusi ndio mtaji wao mkuu :Agakakskagesh: :) hata huu uzi wa kupinga kuchangia harusi wanauchukia balaaa
  3. majoto

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

    Ndio tushasanukaaa :Agakakskagesh: :):):Agakakskagesh::Agakakskagesh::) imekula kwako
  4. majoto

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Unataka kusema nini? mwisho utauliza kama Mungu yupo!! Cha maana hapa ni kujua kuwa mtoto nje ya ndoa ni haramu na ataitwa hivyo, na sehemu nyingine atanyanyasika sana na kutengwa. Katika nchi yetu afadhali watoto hawa katika familia nyingii hawanyanyasiki kama nchi nyingine. Cha kufanya hapo...
  5. majoto

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Mungu aliagiza tukazaliane kuongezeka; akasema tusizini, hii haikutupa ruhusa ya kuzaliana hovyo bila utaratibu, ukiwa msomaji wa vitabu vya dini utagundua tulitakiwa kuzaa na kuongezeka ndani ya ndoa. ndio maana watu wanaoana na ndio maana wanazaliana, ktka ndoa hakuna uzinzi. Hata kuna...
  6. majoto

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Watake wasitake... Haramu ni haramu. Ndoa ni zinaa iliyohalalishwa. hata siku unaoa watu wote wanajua mnaoana ili mkafanyaneeee mzae, na wanawapa baraka zote na pilau linapikwa kusherehekea kufanyana kwenu kwa halali. Na huu ndio Mpango wa Mungu watu wazaliane kwa halali sio kwa uzinzi.
  7. majoto

    JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara ambazo kwa Tanzania nikisikia mtu ameanzisha huwa naishia kusikitika tu!

    Yes, yes.... umemaliza wasiwasi wa wanaoogopa!
  8. majoto

    JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara ambazo kwa Tanzania nikisikia mtu ameanzisha huwa naishia kusikitika tu!

    Usiogope kufungua hizi biashara kwa kuwa zimefunguliwa nyingi mtaani. Zisome, ona weakness zake fungua yako kwa umakini na ubora zaidi. Kwa mfano... uwakala wa fedha. Mtaani kuna mawakala kibao lakini hawafanyi inavyotakiwa.... utakuta mtu ana flot 50,000 tu au hana kabisaaa........ na pako...
  9. majoto

    JamiiForums Tanzania Hakuna El Nino bali Kuna ukame makali, TMA wamegonga nje

    Jiandae, zibua mitaro, hama bondeni, tunza chakula hutapata hasara hata elnino isipokuja. Sasa puuzia usijiandae halafu ikaja..... utatema cheche
  10. majoto

    JamiiForums Tanzania sikuomba kuzaliwa, kwanini nihukumiwe na moto wa milele

    Hakuna atakayekupa jibu sahihi humu. Kama vipi mtafute muhusika aliyekuleta duniani, akakupangia masharti ambapo ukishindwa unachomwa moto.
  11. majoto

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha biashara, biashara iyo nataka kufanya na makanisa je watanilipa?

    Kama biashara ndio inaanza anza nao kwa mfumo wa nipe nikupe... papo kwa hapo. Kama biashara imeshakuwa na inajitegemea vizuri na haitoweza kuathirika na ucheleweshaji wa aina yoyote fanya nao ila kwa uangalifu, sio makanisa yote yana uaminifu.... Kuna makanisa mengi ya Pentekoste na si yote...
  12. majoto

    JamiiForums Tanzania Kukitokea mashambulizi ya Drones, Dar watu watakufa kama nzi

    Haitatokea
  13. majoto

    JamiiForums Tanzania Jux aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza! wana mnaonaje mwana kapigwa au ni copy

    huyo aliyevaa bangili la JOKA ndie mkewe? ndio maana jamaaa anakondeana
  14. majoto

    JamiiForums Tanzania Waenda guest wana changamoto ya afya ya akili

    Usitudanganye. Upwiru sio ugonjwa wa akili. Mtu anayekwenda guest house ni kwa sababu ya upwiru tu umemkaba na hana pori la kwenda kujificha au hana uhuru wa kwenda nyumbani anakolala.
Back
Top Bottom