Recent content by Major Kazimoto

  1. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania Dodoma kijani yatawala, sio CCM tu bali hata wanachama wa vyama vingine wanatabasamu

    Kikao cha Chadema ungekuta watu washapigwa mabomu ya machozi
  2. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Waziri Mkuu Piga Maruufuku Viroba Kwanza Kabla Ya Shisha

    Konyagi inauzwa hadi Marekani kwa sababu inatengenezwa kwa standard za kimataifa. Kiroba ni gongo iliohalalishwa na serikali. Naunga mkono hoja 100%
  3. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda atangaza vita dhidi ya mashoga. Atishia kuzifuta asasi zinazowatetea!

    Freedom of speech my ancestors died so i can live in a free country. Take your warnings somewhere else
  4. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda atangaza vita dhidi ya mashoga. Atishia kuzifuta asasi zinazowatetea!

    Makonda nilidhani mtu wa maana kumbe limbukeni. Mtu yeyote anaesifika na JK ogopa sana
  5. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania Kabla Rais Magufuli hajazama jumla, ajiulize kwanza kwanini Kagame na Kikwete walikuwa na mgogoro?

    Hata mimi huu urafiki kwa kweli siuelewi ushauri wa JK ulikuwa ni sahihi kabisa. Kama Rwanda inataka kuwa nchi ya amani lazima wakae meza moja na FDLR wamalize tofauti zao. Wazungu wanasema if you lay down with dogs you might wake up with flees. Sifa za Kagame zinajulikana duniani kote, kailetea...
  6. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya asitisha zoezi la utoaji chakula Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Trial and error jamani kuna vitu vingine tunajifunza tunavyokwenda. Bora serikali hii wanajaribu mbinu mbali mbali kuliko yale malofa yaliondoka mwaka jana
  7. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania Mwingine adakwa kwa kumkashifu Rais Magufuli kwenye mtandao wa "WhatsApp"

    Wanaoumtukana Lowasa hawana hatia sheria ni kwa wana ccm peke yake
  8. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba apelekwa Kilimo na Mifugo

    Waziri wa kilimo lazima tupate mtu anaeza kuendeleza kilimo kama raisi anataka kupunguza tatizo la ajira. Nilishangaa sana Mwigulu kapewa kilimo. Mwigulu kilimo anakijua toka wapi ?
  9. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Wanafunzi waliodahiliwa UDOM walistahili maana walikuwa na sifa zinazotakiwa

    Kama hii story ni kweli nitamsifu JK
  10. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

    Hakuna mtu katuletea udini Tanzania kama Kikwete. Alivyo na akili finyu alidhani aneaza kutumia dini na waislamu kuficha ujinga wake
  11. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge, Zitto acharuka

    Mbunge kazi yake nini ?
  12. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge, Zitto acharuka

    Watu hawana ajira Kigoma Zitto anahangaika na Magufuli.
  13. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wengi sana walinishauri nisihudhurie kwenye msiba, ila nimetimiza wajibu

    Tokea nione ile video ya Makonda kule bandarini anatafuta mabehewa ya sukari. Sijawahi kuona lofa kama huyu mtu hata shule sijui kasoma wapi kwa sababu hata train of thought hana.
  14. Major Kazimoto

    JamiiForums Tanzania Mawaziri na wabunge wamiminika kumpa pole Kitwanga

    Bora mlevi mchapa kazi kulikoni malimbukeni walio filisi nchi na safari za nje
Back
Top Bottom