Recent content by Majojo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

    Salute kwako mkuu, you said it well.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni kikwazo kikubwa cha furaha yangu

    Duh, kweli?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Hasa anapozini mwanamke.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Kyaka, Kagera: Basi la Sabuni na gari ndogo ya Kanisa yagongana, Watu wapoteza maisha

    Asbh ya leo nilimpata mgeni ambaye ni mtawa ofcn kwangu. Ndani ya muda mfupi alipokea simu na kuanza kulia. Nilipomuuliza alinipa taarifa za hiyo ajali na bahati mbaya padri mmoja aliyefariki ni binamu yake. Walikuwa wanakwenda kwenye upadrisho. Namfahamu padri Mwelinde. Mungu awapumzishe kwa amani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

    Hahahahahahahaaaaa...penda sana hii mimi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwandishi wa Habari, Edson Kamukara afariki Dunia kwa ajali ya moto wa gesi

    Pumzika kwa amani ndugu yangu Kamukara. Kwa mara nyingine wana SAUT tumepata pigo kwenye tasnia ya habari. Mwenye taarifa za mazishi na kuaga atuambie pls.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Kawatafute mabibi wa Kihaya wanajua sana dawa ya tatizo hili.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Hahahahaaaaa uwiiii mbavu zangu mieeee
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbinga-Ruvuma: Gari lapata ajali na kuua Padre mmoja na Makatekista sita

    Sio kweli, Kanisa Katoliki lina makatekista wanawake, mama yangu ni mmoja wao. Parokia ya Mavurunza hapa Dar ina katekista mwanamke.
Back
Top Bottom