Recent content by Majimengi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

    Hiyo ni kweli, lakini kwa hili ! ! Sijui kama lilo hivyo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mungu anaweza kutenda dhambi?

    Kama dhambi ni kukiuka/kutotii amri ya Mungu. Sasa, Mungu anapochoma watu moto, au vyovyote afanyavyo, hua amekosa kutii amri ya nani?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Muheshimiwa El, hajawahi, wala hatawahi kufanana na Sokoine, Sokoine, alikuwa moto wa kuotea mbali.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

    Kweli ! Jamii foroum (hoja mchanganyiko), kuna mawazo, na fikra mchanganyiko.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hii mibinuko wake zetu watapona kweli kwenye hizo gym?

    Pombe mzuri kunywea bar, sio chumbani.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Inahuzunisha! Hili ni jengo lililogharimu kiasi cha mil. 13 kweli?

    Watu wanakula kwa urefu wa kwamba zao. Tuache wivu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na monitor wangu wa darasa amechoka, yaani amechakaa kinoma!

    Ulifikia hatua ya kuchungulia watu chooni? (achalia mbali Mwlm!! ) wewe ulikuwa hatari ! Sijui kwa vipi, walimu nao wakakulea sana wakachelewa kukufukuza!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kusomesha watoto sana, ni njia ya kujiongezea upweke huko uzeeni

    Uwe nao, au usiwe nao, hilo lazima litokee. Jipange kwa hilo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Huko sio kupumbazwa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

    Kuzaa, au kutozaa, hakuhusiani, wala hakufanani, na mada yenyewe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?

    Labda wanakosa staha, kutokana na mambo,na taratibu zao, kama ni hivyo, hata wakiitwa malaika, na neno malaika litakosa staha!
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

    Mungu sio mbadhifu, siku zote humuweka mja wake anapositahili. Umuombe au usimuombe.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Angalia jinsi wasomi wa Vyuo Vikuu wanavyopigwa na maisha mtaani

    Kama kamtangaza, unamjua ni nani?
  14. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Medi wa Ngara Oil afariki Dunia

    Raisi! Kahusikaje hapo?
Back
Top Bottom