Recent content by majidy j.iddy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pigo lingine kwa Lowassa Arusha, watu 10,000 kutoka CHADEMA Wamehamia CCM

    Aliye kwenye mabadiliko hawezi kugeuka hata ukimpa pesa atachukua nakura hakupi. Msilazimishe ushindi Watu wamechoka na ahadi zauongo.wacheni wawonje mabadiliko.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba Lowassa ndio suluhiso la kila kitu hapa nchini?

    Rais tajiri na raisi masikini bora yupi? Marekani hutawaliwa na maseneta kwanini na Tanzania isitawaliwe na watu wa anihii.mm naona Lowasa anawe kuwa Rais ni mtu mwenye hela matatizo madomado anaweza kuingia mfukoni. Kuliko masikini mpaka ajijenge yeye dio aanze kuangalia wengine.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa avunja ndoa ya vumbi la mabadiliko ya Dr Slaa na Zitto

    Dr.Slaa kaisha kisiasa hata aende wapi hakuna Mtanzania atakae mwelewa hana tifauti na Kaburu wa Kigoma.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Rais ni Lowasa makufuli anasindikiza.kama nimwizi mbona hakushtakiwa muda wote zaidi ya miaka saba?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    Naona wewe ndo unatapatapa.kuongea sana sio ndokutenda kazi.tumechoshwa na manene ya ahadi zauongo kilasiku CCM ipishe njia Ukawa itufanyie mambo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni dakika 5 za Lowassa

    Huna la maana kuongea sana hakunama.kinachotakiwa ni utekelezaji wa ahadi sio miaka hamsini ahadi zisizo tekelezeka.tumechoka ahadi za midomoni bilakitendo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    Nyamagana Sengerema Kahama nk.
  8. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA ya Dr Slaa INGESHINDWA kwa 10%-, UKAWA ya Lowassa ITASHINDA kwa 68%+

    Kwa haya ya Slaa nibora sana kuyasema mapema ilituya sahau mape. Tunacho taka nimabadiko. CCM imetuchosha naahadi zauyongo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Ww ulitaka aseme nn kama hautaki.mabadiliko ww ndo unatakiwa ukapimwe akili.Miaka 50 bado unapenda kisicho pendeka. badika achana na ahadi hewa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Hakuna wa kupinga Lowasa ndiyo Rais wa awam ya Tano.anayepinga akajinyonge: hilohalinaubishi .Anayepinga mabadilio huyo hanamaono nafkiri zakuelewa ninimaana yamabadiliko.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Lowasa ni Raisi wa wanyonge kaungana na maskini kwenye Dala.
  12. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Naamini mtu akizeeka naakili inazeeka unawezaje kumwambia waziri mkuu wako uliye mteua wewe mwenyewe mpumbavu na lofa?naona niakiliza kizee.
Back
Top Bottom