Lowassa avunja ndoa ya vumbi la mabadiliko ya Dr Slaa na Zitto

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Katika hali isiyo ya kawaida vumbi la mabadiliko limevunja ndoa ya Dr. Slaa na Zitto Kabwe.

Source Mtanzania
 
Mtanzania ni gazeti la Rostam. Linaogopa muungano wa Slaa na Zitto
 
Watapambana lakini hawatashinda,nguvu ya umma huwa haizui nguvu ya fedha ama dola.Sauti ya watu ni sauti ya MUNGU.Wapumbavu na malofa wenzangu tusikate tamaa,ni lazima tuwakatae wote wanaopinga mabadiliko,hata kama wana heshima ya namna ya pekee katika jamii yetu.Mustakabali wa Maisha yetu upo mikononi mwetu!!
 
Act wameshindwa kumhakikishia dr slaa usalama wake.
Zitto ameshituka asije slaa akawa popular kuliko yeye then amnyang'anywe chama chake.
Pili slaa huyuhuyu ndie aliyemfukuza zitto CDM.
 
Alieitwa Msaliti na kufukuzwa kwa kuhujumu Chama leo kajiunga na Mbaya wake
 
zimebaki siku ngapi barabara!!!?
tupige kura barabara!!
kweli tutayaona mengi tutasikia mengi, msimamo wangu ni palepale.
MABADILIKO NI LAZIMA!! na kura yangu ni ya mhimu mno kwa mtu sahihi, na chama sahihi kwa sera zake! nimechoka kudanganywa.
 
ukeweli ni kuwa huwezi zungumzia ufisadi wa lowasaa bila kuitaja CCM -KUINGIA KWA SLAA act KUNGEIATHIRI SANA ccm maana slaa lazima aiue ccm
 
Zitto nn dira yako katika siasa unayumba yumba unadokoa kila mahali tengeneza misimamo ya kisiasa otherwise utasahaulika katika siasa,tambua mahitaji ya watu kwa wakati ni nini ungana nao jina lako likumbukwe kwenye ukombozi.siasa chafu mwisho october 25
 
Vitisho vya kuuliwa mchezo. Hao jamaa usipokuwa na ulinzi wa kutosha wanakuondoa,chezea mafia hao na hata wakipata nchi msifikiri mtakuwa huru kama mlivyokuwa huru kwa Kikwete
 
Back
Top Bottom