Recent content by Maji ya shingo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti majira: Zitto akatisha ziara ya Slaa

    ni kiangazi hiki, chakula cha msaada mtapata tu msiwe na hofu hakuna kufa njaa kwani malipo kwa sasa yapo ila ikinyesha tu oooopsi hakuna msaada kwa hayo magazeti uchwara
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

    ooooooopssiiiiiiiiii
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM, TLP na UDP wadandia chai na juisi ya ikulu!

    Goodafternoon
  4. M

    JamiiForums Tanzania Asah Mwambene: Absalom Kibanda hana vigezo vya kuwa mhariri

    Binafsi namfahamu Kibanda kwa undani wake na elimu yake, ila huyo Mwambene simjui naomba wenye uelewa kumuhusu watujuze. Nasisitiza Kibanda anajulikana kwa hali ma mali pia ni msomi wa kueleweka na hapendi ku-weed between the lines ili apate mkate. kwa haraka Mwambene ni maji ya shingo. Pole sana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shonza na Mwampamba Wapigwa Stop na Vigogo CCM ?

    huyu mama wamemfyonza sana hadi sifongo!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni kweli huyo ni Mnyarwanda kabisa anaeongoza vyuo vikuu Tanzania

    Napata shida sana kuunganisha yasemwayo kuhusu huyu bw. Inavyoelekea hakuna ajuae ni lini na ni wapi alizaliwa, hivyo nashauri aje jamvini binafsi atuambie yeye nin nani na anafanya nini Tanganyika. Ni wazi kuwa hata ktk mchakato huu wa Katiba mpya ni bora tukawa na madarja ya watu (raia) kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sugu, once a criminal always a criminal.,Mbowe experienced Disco Joker (DJ) what a parliament..!

    Mzee ongezea yale Mimba(MEMBE) aliyoyasema kuhusu Lajoelina wa Madagasca na waasi wa Libya. Je huyu bwana anaedharau ajira za watu anaweza elezea historia ya kamuhogo kake anapokapata?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr Mwakyembe Apangua Wajumbe wa Bodi ya Bandari (TPA)

    Pole na kazi isiyo na maana Mwakiwembe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naipenda sana CHADEMA, Tatizo ni sera mbovu, vurugu na ugaidi

    Kama huna hoja tafadhali nenda jifungie choo cha kituo cha mabasi hapo ulipo uendelee kutafakari maana naona huna hoja zaidi ya uharo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Timothy Apiyo Afariki Dunia

    Wape pole wafiwa ni upendo wake mola ndio umemfikisha alipo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sera ya CHADEMA ya Majimbo ni mzigo kwa wananchi - Wassira

    Mzigo kama kichwa chako
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayonifanya niipende CCM (vitu walivyotekeleza)

    Naomba rudi darasani na ujifunze vizuri kwanza hicho kiswahili alichotuachia Nyerere ndio urudi humu ndani na hoja za msingi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Musoma: CHADEMA yawafukuza Madiwani wawili Uanachama

    kimeeleweka
  14. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    ok......ok....ok
Back
Top Bottom