Recent content by maji king

  1. maji king

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Natafuta single room kiwe ndani ya fence maeneo ya mabibo mwisho bajeti yangu 60k nikiridhika nalipa siku hiyo hiyo
  2. maji king

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Habari wakuu nahitaji chumba kizur ambacho kipo ndani ya fence maeneo ya mabibo mwisho bajeti yangu ni 60k
  3. maji king

    Fursa ya Forex; Ushauri Wangu kwa Bw. Ontario

    Jaman waungwana naomba mnisaidie link ya group la whatsap kwa zone ya dar es salaam...asante
  4. maji king

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hakuna timu ya uakika siku izi duh
  5. maji king

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahah daah wengine wanapiga ila wengine tunapigwa mbayaaa mmae
  6. maji king

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pia zenit nimempa yani kapigwa mbili [emoji43][emoji43][emoji43][emoji43]
  7. maji king

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Manake timu ya nyumbani double chance ishinde au itoe droo
  8. maji king

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mwenye mtaji mrefu ajitupie hapo
  9. maji king

    MZUMBE UNIVERSITY

    MZUMBE NA NIT sijui wana tatizo gani[emoji46][emoji46][emoji46]
  10. maji king

    Mtu mwenye DDE PCB anaweza pata MD au Nursing degree?

    Hapati degree yoyote kimpango upi acha mchango mgando huo
  11. maji king

    Walioomba kusoma elimu ya juu Tanzania kupitia TCU(undergraduates 2016)

    Asa mnatuunga then mnaturemove ndo nn Asa au kiki kaka mkubwa
Back
Top Bottom