Recent content by majanguya

  1. M

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    kweli watanzania njaa zitatuua,prof kitila amesahau shida baada ya kuteuliwa kuwa katibu mkuu ameona haitoshi bora achukue na kadi ya ccm kabisa,ili kusudi next time awe minister kabisa,hii ndio aina ya maprofesa wanaopatikana africa hasa tanzania...
  2. M

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    kweli watanzania njaa zitatuua,prof kitila amesahau shida baada ya kuteuliwa kuwa katibu mkuu ameona haitoshi bora achukue na kadi ya ccm kabisa,ili kusudi next time awe minister kabisa,hii ndio aina ya maprofesa wanaopatikana africa hasa tanzania...
  3. M

    I am looking for a Grants Proposal Writing Proffessional

    mkuu tutafutane hiyo ndio field yangu,niko arusha kuna NGO nafanya nayo mradi wa afya...
  4. M

    Tahadhari: Kuwa makini na matangazo ya Kazi za Tear Aid, ni Uzushi mtupu

    hao ni matapeli wakubwa jiepushe nao kabisa,huwa wanabadilisha web site yao na kutangaza kazi za kitapeli ukiomba wanakupa link ya consultancy firm ya kukufanyia par test ambayo wanaanza kukuuliza payment kwa njia ya mpesa, kuweni makini matapeli wengi siku hizi...
  5. M

    UTAPELI wa Kazi za African Child Aid (CHUKUA TAHADHARI) | Beware of Scam

    hawa wahuni wamerudi kama Tear aid africa,niliomba post ya project officer wakaniletea huo upuuzi wa PAR nimekimbia mbali,ni matapeli toka kenya hawajaanza juzi huu utapeli,tuweni makini na kujaribu kuwaeleza new graduates...
  6. M

    Natafuta kazi ya uwalimu, nina Post graduate Diploma ya 'Education' ya History and Geography

    nipo arusha now,post nilimaliza mwaka jana kuna shule nikapata moshi ila wakawa hawalipi vizur,istoshe hawalipi kwa wakati maisha yakawa magum nikashindwa,
  7. M

    Natafuta kazi ya uwalimu, nina Post graduate Diploma ya 'Education' ya History and Geography

    kama mimi dadangu,i'm in the same situation lakini bado na pambana,i wish tutafutane if possible,now kuna organization najitolea..kazi zimekuwa ishu kweli but one day yes tusikate tamaa...
  8. M

    Niliomba kazi Bank, halafu nimeitwa na hawa Kp recruiters au Kaparama recruiters ila Wanataka hela kabla ya Interview

    kama tear aid africa wanakutumia consultant company za kitapeli,epuka hawa wakenya ni matapeli sana,mpaka website wametengeneza ...
  9. M

    TAKUKURU: Nassari na wenzie hawakuleta Ushahidi bali Taarifa, tunampa onyo kuongelea taarifa za uchunguzi hadharani

    takukuru hawajui kitu wanachofanya,kazi kukaa ofisini tu rushwa imezagaa mtaani...
  10. M

    Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    wakuu huko tuendako siko ni disaster,how complicated to get job,MUNGU atusaidie waja wake...all the best..
  11. M

    Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    hii nchi imeliwa imekwisha na kwa kigezo cha mbunge ajue kusoma na kuandika kuna uwezekano mkubwa wa hiyo mikataba kurudishwa kama ilivyokuwa awali,watanzania tubadilike dunia imebadilika maendeleo yanakwenda kwa kasi nchi za wenzetu...
  12. M

    Yaliyojiri katika kuaga Mwili wa Marehemu Philemon Ndesamburo

    pumzika kwa amani mzee wetu Ndesamburo,mchango wako unatambulika sio duniani tu hata mbinguni...
  13. M

    HUZUNI: Watanzania kuwaaga Watoto, Waalimu na Dereva wa ajali ya Karatu, uwanja wa Sheikh Amri Abeid

    R.I.P Mungu awapokee kwenye altare yake kuu mbinguni.Amina...
Back
Top Bottom