Recent content by Majamunda

  1. M

    Kunanini kati ya wasanii na Views nyingi Youtube

    kumbe hadi mbele wananunua views
  2. M

    Kunanini kati ya wasanii na Views nyingi Youtube

    ushamba tu, kuna wasanii wanafikisha views hadi billion wakini hata hawajigambi lakini wasanii wa Afrika na waafrika kwa ujumla kufikisha tu million 1 makelele mitandaoni hadi tunakosa kulala, imekua ni kujitambishia sasa mtu akitoa ngoma inakua tuone ni siku ngapi atafikisha views kadhaa
  3. M

    Wanawake Vizinga

    Asante ila acheni hizo tabia
  4. M

    Wanawake Vizinga

    Ni miongoni mwao nn
  5. M

    Wanawake Vizinga

    Kabisa nimeona aisee
  6. M

    Wanawake Vizinga

    Mkuu hawa viumbe ni hatari sana kwa afya, ila mimi nahisi wengi wameolewa ila tu wanakuwa wanataka kuchuna watu wananiona kama nalalamika wanahisi nashindwa kuwapa hela ila hapana kama unatafuta mchumba usitangulize pesa mbele yaani mnajuana leo unaadha kuniuliza namiliki nini na nini we unataka...
  7. M

    Wanawake Vizinga

    Basi mkuu wacha niseme ni mimi yamenitokea, vipi hapo si safi
  8. M

    Wanawake Vizinga

    sijasema mwanamke au mpenzi wako usimpe pesa nachosema mtu ndo mnaanza kujuana anaanza vizinga hapohapo
  9. M

    Wanawake Vizinga

    Sijaliwa sipendi mtu ata hamjawa wapenzi anaanza kuonyesha njaa ya pesa
  10. M

    Upepo cover; Shkamoo Ray C

    nalisubili kulishuhudia make nlilimisije
  11. M

    Wanawake Vizinga

    Au nawewe unapenda pesa japo ka Avatar kako hakaonyeshi hivo
  12. M

    Wanawake Vizinga

    ha ya mkuu wewe endelea kuwapenda wanaopenda pesa utakuja pata majibu pia akitokea pedeshee zaidi yako
  13. M

    Wanawake Vizinga

    Wao ndo michosho mkuu labda kama hujakutana nao sema labda kama ni utani tuu unafanyika humu ndani ila sio upendano...most of them they are after money na haimaanishi kama mimi siwezi kuwapa pesa ila tatizo kitu cha kwanza wao ni pesa namimi sitaki kudinyana tuu nataka maisha
  14. M

    Wanawake Vizinga

    mfano wako siwezi kukupa jibu make haiwezi ikatokea ukapenda watu wawili kwa ulinganifu, lazima kuwa na sababu ya kumpenda kila mmoja ana hivyo vitu ndo vitakufanya wewe uamue kuwa na yupi
  15. M

    Upepo cover; Shkamoo Ray C

    Kaimba vizuri bana wacha nimpe sifa yake, kampoteza alouimba wimbo anasauti ya kumtoa nyoka pangoni, cha kufanya aanze kuachia mawe yake sasa japo sidhani kama uno lile litaendelea kuzunguka kama zamani
Back
Top Bottom