Recent content by MajaliwaJeremiah

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

    We hata huelewi, mtu kuwa mjinga ni tusi? Maneo ya lugha chafu aliyotoa ni yapi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natarajia Mbowe kupinga utekelezwaji miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F huku bara

    Unaandika vitu gani, kwani barabara zina uhusiano gani na mambo ya bandari?
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina Imani na Akili ya Rais wa Yanga SC

    Pumbavu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

    Wewe ndo una roho mbaya kuliko watu wote duniani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watumbuaji wa Awamu ya Tano walia njaa, waomba Rais Samia awarudishe kazini hata kwa vyeo vya chini

    Punguzeni kutuandikia ujinga, nchi za kiafrika ndiyo maana hazisongi. Wengi wanafikiria kwa matumbo na makalio
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binafsi napingana na takwimu za IFFHS

    Kwa hoja yako hii wewe ndiye mbumbumbu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

    Pamoja na utoto wake, hana tofauti na watoto wengine wanaothubutu kusema hawajui kitu kinachoitwa njaa
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

    Endelea kuvuta tu kama inavyoonekana picha yako
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utabiri wangu CAF

    CAF Champions Mamelodi CAF CC Young Africans
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya urais 2025: Tundu Lisu vs Humphrey Polepole

    Nchi hii wajinga wengi sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama sio Magufuli vitu hivi visingekuwepo Tanzania Milele

    14. Makao makuu Dodoma 15. Tanzanite Bridge 16. SGR 17. Msalato Airport 18. Vituo vya Afya kila kata 19. Hospitali kila Wilaya na Mikoa 20. VETA kila mkoa na Wilaya sana NB. Ameondoka hajakamilisha ujenzi wa shule kubwa za Sayansi kwa ajili ya watoto wa kike kama alivyokuwa ameahidi...
Back
Top Bottom