Recent content by MAJ

  1. MAJ

    Natafuta mume

    Kama hautojali unaweza nitafuta mimi Dm
  2. MAJ

    NAUZA

    Nauza PS4 ikiwa na Cd ya FIFA 19 kwa bei ya tshs 950,000/= nipo Arusha
  3. MAJ

    NAUZA

    Nauza PS4 used bei 950,000/= ila ipo katika hali nzuri na pia ina game FIFA 19, GTA na n.k nipo Arusha kwa aliye serious anicheck PM kwa mawasiliano
  4. MAJ

    Natafuta rafiki wa kiume

    Itakuwa vizur kama unanitafita mimi
  5. MAJ

    Natafuta rafiki wa kiume

    Karibu maana ata mimi napatikana mikoa ya kaskazini
  6. MAJ

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Iyo hatari sana .....maana sisi wanaume wenye kimo cha medium hatumo hapo
  7. MAJ

    Natafuta male friend

    Hongera... !! Jitahidi utapata
  8. MAJ

    Mwanaume wa kuzaa nae!

    Nipo apa
  9. MAJ

    Napenda kujua

    Iv jaman tungekua tunachukua maamuzi ya kuoa au kuolewa kutokana na namba za mwisho za simu zetu... Je wewe ungekuwa unaoa au kuolewa na umri gani kutokana na namba yako ya mwisho ya simu
  10. MAJ

    Natafuta mpenzi

    Jamani natafuta girlfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Nimechoka kukaa peke yangu upweke noma sana...Nataka mtu Mstaarabu, Mpole kiasi , Mwenye Kupenda Maendeleo..... Kama haikuhusu pita kiustarabu tu
Back
Top Bottom