Recent content by MaiyaMakere

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mara Baada ya uteuzi wa Dkt Hussein Mwinyi huko NEC ya CCM

    Naunga mkono Serikali Moja.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara katika mpaka wa Tanzania na Kenya eneo la Holili imekuwa katika hali ya sintofahamu, Serikali ya Mkoa yaingilia kati

    Kama ni One Border Post basi kituo cha kupimia kinatakiwa kuwa Kimoja tu kwa nchi zote mbili
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?

    Word. Rejea Tanesco na umeme kukatika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais kama hutochukua hatua za ziada kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka(DART), basi tujiandae kwa maombolezo

    Tungojee kufa . Ni kuacha kuutumia na kutafuta usafiri Mwingine
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rushwa imeongezeka nchini, ushahidi upo

    Sheria inasema ukikaa nje ya kituo chako cha kazi zaidi ya masaa sita unastahili kulipwa nusu ya DSA. Ukienda wilaya nyingine unalipwa DSA kwa ngazi husika. Nafikiri kosa ni kama wako kituoni hapo hapo na wakajilipa. Chief akifika kwako ndiyo siku ya kuchinja Ngombe aliyenona
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer

    Pole Sana Bwana Pascal. Jikaze tu yote haya yana Mwisho. Nimerejea nukuu zako za nyuma basi hata kama wewe umefinywa basi nuru imekuangazia.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye: Serikali ya Tanzania yafuta mkataba wake na Kampuni ya Kenya (Indo Power Solutions LTD) iliyojinasibu kununua Korosho kwa Bil 400

    Si Prof Kabudi tu. Siku ya Kusaini Mkataba walikuwepo Maprof 7 PhD 4 na Master 3 Vs Mfanyabiashara Mmoja Kutoka Kenya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Rweyongeza: Mfumo wa Elimu ukivurugwa na Mbumbumbu kupewa madaraka, Amani ya Taifa itatoweka

    Hawa wanatakiwa wanshindwa kuchukuliwa hatua na serikali kutokana na kushindwa kutafsiri alichosema Mhe Baba Askofu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?

    Sawa kabisa hizo ripoti zinaweza kusubiri Binge lingine
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akutwa na hatia ya kuunga mkono kauli ya CAG, afungiwa mikutano miwili ya Bunge

    Nikiwa Form 5 Tosamaganga niliwahi kuchapwa Viboko na Headmaster wa wakati ule (Dudu) kwa kosa la kusikiliza kwa kiswahili.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Rais Magufuli awasamehe Kangomba na kutaka walipwe kwa watakaokiri

    Kuna Mtaalam mmoja aliwahi kuniambia "Kangomba ni mpango wa Mungu binadamu hatakaa aweze kuuvunja" Naendelea kutafakari na kuangalia matokeo yake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

    Naona kama hatucheza ule mchezo wa draft tukiwa wadogo. Nakusubiri ule zangu mpaka zikibakie mbili kisha nakula za kwako kumi na mchezo umeisha.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad(CAG): Nitaitikia wito wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

    Word. Na ikiwezekana mkumbushe wajibu na mipaka yake
Back
Top Bottom