Recent content by Maitre zuma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mweusi alitoka wapi?

    Sasa kama adamu alikuwa mweusi vipi sasa mtu mweupe naye alitoka wapi? Maana mweusi na mweusi awezi kuzaa mweupe au mwarabu jibu swali ilo usi jifanye eti dini yako tu ndo ya kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mweusi alitoka wapi?

    Haaaaaaaaaaa ume nichekesha Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mweusi alitoka wapi?

    Apo auja jibu chochote ukisema rangi ili anza kubadirika sasa kama original alikuwa mzungu mbona kuna watu weusi ambao wanazaliwa ulaya awa geuki rangi kuwa watu weupe? Kama nyingi ina badirika kulingana na hali alisi ewa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli uchawi upo katika elimu/masomo?

    Haaaaaaaaaaaaa wewe umerogwa wewe sio bure jichunguza kwanza uko chini kama jogoo ana ruka mtungi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli uchawi upo katika elimu/masomo?

    Yeah mimi nishaga wai kuona aya mambo yapo kweli
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeleta na aliyetengeneza uchawi hapa duniani?

    Watu kama ao ndo wajinga zaidi uta kuta mtu ana sifia mungu alafu uki mubebea maiti eti afufuwe yeye aliye na mungu mwenye nguvu zaidi ana shindwa sasa uyo mungu wake mwenye nguvu ni kusema sema tu na wakati afanyi chochote cha kumfanya mtu ahamini kama ni mwenye nguvu kweli
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeleta na aliyetengeneza uchawi hapa duniani?

    Sasa apo ndo nataka kujuwa kiama kita kuwa aje? Tume kosea nini
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeleta na aliyetengeneza uchawi hapa duniani?

    Kwanza ninani aliye leta uchawi duniani ? Akiwa ni mungu sasa shetani ameusika aje apo na wakati mungu ndo chanzo cha kila kitu mungu asinge leta uchawi una amini tungeli ufanya? Sasa itawezakana aje umpime mtu alafu akikosea umwambiye eti uta muhukumu na wakati wewe ndo chanzo cha yeye kuaribu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeleta na aliyetengeneza uchawi hapa duniani?

    Kwani duniani kuna mtoto wa shetani? NA kama ni ivo mungu mwenye upendo na sisi binadamu kwanini akunyanganya shetani ile nguvu ili isi zidi kumuangamiza kiumbe chake? Ivi kuna faida gani ya kuitwa baba bora wakati watoto wako wana kosa amani ahuwasaidiyi kitu kusaidia kwako mtoto wako mpaka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeleta na aliyetengeneza uchawi hapa duniani?

    Acheni ivo mungu awezi mpima mwanadamu na wakati ana juwa mwanadamu si mkamilifu na kama ni ivo kwanini sasa ata tuhukumu na wakati yeye ndo chanzo cha sisi kufanya zambi? Amini usi amini uchawi upo na muna paswa kutofautisha kwamba uchawi na miujiza ni ndugu na mungu alileta uchawi kwasababu ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeleta na aliyetengeneza uchawi hapa duniani?

    Kama uchawi uliletwa na mungu kwa mazumuni ya kumsaidia mwanadamu sasa aliye wa ambia wanadamu kuwa uchawi una uwa tena uki utumia vibaya ninani? NA kama ni ivo mungu mwenyewe tena ana juwa mwanadamu si mkamilifu ata umwambiye nini ata kugeuka tu sasa alivyo tupa uchawi akujuwa kama tuta uwana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeleta na aliyetengeneza uchawi hapa duniani?

    Apo ume sema wongo mkubwa tukisoma biblia na koran vina tuambia mungu ni mwanzilishi wa kila kitu apa duniani yaani ni mwanzilishi wa kila kitu kinacho onekana na kisicho onekana kingine ni iki watu wafahamu kwamba si kila mwanadamu aliye umbwa na mungu ndo ana weza kufanya mihujiza apana ndo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa nchi ya Tanzania na Congo DRC

    Wa ache siku ambayo nita pita madarakani akuna ka inchi ambako katafanya fyooo kuanzia marekani mpaka vibaraka vyao Tanzania nita choma moto tu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nchi kumi vinara wa uchawi na ushirikina duniani

    Haaaaaaaaaaa waulize
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba papa ni freemason?

    Acheni kutudanganya na mambo yenu ya kifreemason kila ou kicha ni abari za kifreemason ndizo ziko kinwani mwenu sasa kwa tarifa yenu akunaga vya kifreemason wala nini acha ni kupe uhakikisho sasa kama akunaga freemason wala nini 1 wanasemaga ukiwa freemason uta kuwa tajiri ilo sija likataa...
Back
Top Bottom