Wewe una shida kubwa ya kisaiokolojia. Uko mjini au kijijini? Unayoongea mbona kama vile town hayawezekaniki? Au umehamisha tabia zote za kijijini kwenu na ukazileta town.?
Anajua kizinza vizuri sana. Tatizo ni hujawahi kumsikia wewe. Unajua kwanini amekuwa converted to sukuma, kwa sababu wasukuma muna ukabila sana, so anaogopa kulipoteza kundi kubwa la wasukuma kwenye uchaguzi. Na wasukuma ni wabovu sana mku tayari kumchagua msukuma mwenzenu hata kama ni uwezo...
UNA HOJA ILA MAISHA YETU YAMEKUWA MAGUMU KULIKO KIPINDI CHA KIKWETE. SO HOJA YAKO INAKOSA NGUVU KABISA. UKIENDA JUKWANI UKASEMA IVI UTAZOMEWA SANA KWASABABU TU MAISHA YA RAIA WENGI YAMEZIDI KUWA MAGUMU KULIKO ILIVYOKUWA.
KAMA MUMEKOSA YA KUANDIKA KAENI KIMYA. SASA IMESAIDIA NINI. ALAAAAAAAA MUNATUBOA BHANA. SERIKALI YENU INA MWAKA 1 TU LAKINI TUMEICHOKA UTAFIKIRI INA ZAIDI MIAKA 20 KAMA YA MSEVENI. LIPI LA AJABU KULIKO KIKWETE? MUNABOA SANAAAAAAAAAAA.
Not between line, but between lines, and this means that to look for or discover a meaning that is implied rather than explicitly stated. For me, he did not read between lines because of meaningless opinions.
Soma aya moja tu ya mwisho au kiingereza kinakupa shida. After all hoja iliyomezani kuwa Muhongo na wizara yake taarifa walikuwa nayo. So waache kutulaghai na wajue kuwa UNAWEZA KUDANGANYA WATU WOTE KWA MUDA FULANI NA HUWEZI KUWADANGANYA WATU WOTE WAKATI WOTE. WAKATI WA KUDANGANYWA UKO UKINGONI...
Na ccm watapata wapi? pesa za kuchakachulia matokeo ya uchaguzi. Wee unafikiri hizo pesa za kuwalipa wasanii wote wale huwa zinatoka wapi? jiongeze mkuu, pesa huwa zinachukuliwa kwa viini macho vya kushindwa kesi, hapo upo?
Mbona Zitto ana dissolve kiurahisi hivi, zile form hazidanganyi na hajaonyesha mchanganuo wowote na ajifunze kusimamia maamuzi yake amesha andika mshahara wake ni Tshs. 99,504,000 kwa mwaka mbwembwe zingine tena za nini?
Zitto naona umeamua maksudi kuumbua watu, wanaojifanya wanabana matumizi tunataka kuwaona wana kuwa wa kwanza baada ya Zitto, then wakisimama kwenye majukwaa ndo tutawaamini vinginevyo tutawaona kama mashetani tu, maana shetani nae alijibadilisha kuwa malaika wa nuru kumbe ni muovu na ni muuaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.