Recent content by Maishamapya

  1. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani anafahamu wasifu wa Amani Golugwa meneja kampeni wa Tundu A. Lissu?

    Ni Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God (TAG) ambalo baba yake mdogo, Mch. Peter Golugwa ni mchungaji. Baba yake mdogo amewahi kugombea ubunge Arusha kwa tiketi ya TLP ktk uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995.
  2. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif atua Zanzibar kumalizana na Lipumba

    Swali sahihi kabisa ...
  3. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa wagombea CHADEMA; Huu ndiyo utaratibu wa fomu, gharama na kura za maoni

    Mkuu, Maazimio ya vyama vyote washirika wa UKAWA kwa Ubunge ni kwamba kila chama kifanye mchakato wa uteuzi wa ndani. Pale maafikiano yatakapotolewa hadharani, basi wale waliochukua fomu watarudishiwa pesa zao endapo Jimbo husika atakuwa amepewa mshirika mwingine wa UKAWA.
  4. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu mpaka jioni hii hawajatoa dhamana kwa Makamanda wa CHADEMA

    Makamanda walitoka muda wa saa 11:15 hivi. Mhe. Boniface Jacob, Mkiti wa Jimbo la Ubungo ma.mmoja wa makamanda walikuwa rumande alipata nafasi ya kuongea na waandishi wa habari na kuaema; wanao ushahidi wa kutosha kuhusu kuhusika kwa Mang'ula ktka mkakati wa kutaka kumwua Dr. W. P. Slaa. Pia...
  5. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akubali utendaji wa CHADEMA Manispaa ya Moshi

    Please fly!
  6. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania Mwigulu asalimu amri kwa Kinana, asitisha ziara zake

    Mbona kuna watu humu jf walisema ile barua ni feki?
  7. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujaapisha viongozi Migombani

    Ndio hao hao: msalani na MUSSA ALLAN fikra zao ziko sawa ... Anaweza kuwa mtu mmoja
  8. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Dr. Willbroad Slaa na waliotangaza nia urais CCM

    Tumeongozwa na mwizi wa hela za watz ... Anayediriki kusema pesa za eskrow si za umma halafu siku mbili zijazo watu wanapelekwa mahakamani
  9. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Dr. Willbroad Slaa na waliotangaza nia urais CCM

    Mbona imeongozwa na malaya
  10. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania CC ya CCM haikuwa na jipya

    Kuna mtaa kule Boko, DSM unaitwa ... "Basi haya". Hiyo ndiyo comment yangu
  11. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania CCM inaandikisha familia maskini mitaani, Lengo ni nini?

    Hapa Kimara Matangini muda wa saa mbili walikuwa wamejazana watu ofisini wakisubiri kuandikishwa. Naona Huu ni mkakati wa kupitisha katiba feki na uchaguzi wa mkuu wa mwaka huu. Aina mpya ya Rushwa. Yaani unaenda tu unasema mimi ni masikini na unaandikwa kwenye daftari. Hakuna utambuzi. Na kwa...
  12. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    Umejenga hoja japo sina hakika km TL ni president material kwa sasa. Mimi namwona km AG. Asante mkuu meningitis
  13. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania PETER PINDA vs WILBROAD SLAA

    B. Wlibroad Slaa
  14. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    It is not the first time for Tanzanians to go 10 years without a president. And by the way we are always fine n we go ahead and repeat the same mistake. Wait 2015, n you will be suprised.
  15. Maishamapya

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde na Assumpta Mshama mmejisikiaje baada ya Hotuba hii ya Rais Kikwete?

    Hivi huyo mama ni wa viti maalumu? Mkuu ole moringe huyu si ni mbunge wa Nkenge?
Back
Top Bottom