Uchaguzi 2020 Nani anafahamu wasifu wa Amani Golugwa meneja kampeni wa Tundu A. Lissu?

Nimfahamuvyo kwa taaluma alisomea shahada ya kwanza ya uhasibu, alifanya kazi muda mrefu kwenye NGOs kabla ya kuingia mazima kwenye siasa akiwa kiongozi mwandamizi wa mkoa wa Arusha na baadaye Kanda ya Kaskazini. Ni Mchungaji wa Anglicana na namfahamu kama mwenyeji wa Singida
Ni Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God (TAG) ambalo baba yake mdogo, Mch. Peter Golugwa ni mchungaji. Baba yake mdogo amewahi kugombea ubunge Arusha kwa tiketi ya TLP ktk uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995.
 
Aisee mkuu barikiwa Sana kwa kutoa angalau utambulisho,hii inakamilisha msemo usemao usimzarau usie mjua,kiongozi huyu yuko very simple na kwa kua umesema anatoka Zanzibar nimekubali ,nawapenda Sana wazanzibar Kama ndugu zetu pia Kama rafiki zangu ,hawanaga makuu ila wako vizuri kuanzia kiakili na busara nimeishi na naishi nao ,watu poa sana
 
Mfano was akina maalim Seif
 
Mkuu umenifanya nichekee kwa sauti kubwa.

Jamaa ana mkwara mbuzi nakumbuka siku ile anamuwekea pingamizi Magufuli alisema tume isipomuondoa mh Magufuli katika orodha ya wagombea wataingia barabarani.

Hahahaha
Barabarani labda aingie yeye na mke wake.
 
ahakikishe Lissu anatumia siku7 alizopewa kwa mafanikio...
Zimeisha mkuu au una habari,alafu niseme tu NEC kwa Sasa iachane kuingilia wagombea siku zilizobaki wajikite kuhakikisha uchaguzi unakua huru tu basi Kama ni jpm amechaguliwa kwa Uhuru na haki sawa, na Kama lissu kamzidi sawa na akubali katiba itamrida Kama rais mstahafu, na atajijengea heshima kubwa ndani ya tz na afrika kwa ujumla Kama sio dunia na wananchi Kama akifanya hivyo haitajalisha ni mazuri yapi au mabaya yapi ametenda akiwa madarakani bali tutahakikisha abugudhiwi,kwa kuomba serikali iliyo madarakani kusamehe na kuanza ukurasa mpya.
Nimebaki na siku tano maliza mfungo juu ya taifa langu
 
Nimfahamuvyo kwa taaluma alisomea shahada ya kwanza ya uhasibu, alifanya kazi muda mrefu kwenye NGOs kabla ya kuingia mazima kwenye siasa akiwa kiongozi mwandamizi wa mkoa wa Arusha na baadaye Kanda ya Kaskazini. Ni Mchungaji wa Anglicana na namfahamu kama mwenyeji wa Singida
Hapa kidogo naelewa sasa ila huyu wa kutuambia "Ole" ni Mzanzibari duh... nilikuwa simwelewi elewi
 
Alipokua Arusha jamaa alipambana sana kwa kweli tuseme ukweli anatosha
 
Aisee Amani Golugwa hiki kichwa ni machine ya hatari sana, very organized. Licha ya mazingira magumu ya kisiasa pamoja na ufinyu wa resources ila bado kaweza kucoordinate kampeni za Mhe. Lissu kuwa za kisasa na zinazoendana na wakati.

I wish this time anafaa sana kuja kuwa katibu mkuu wa chama au nafasi yeyote ya juu ya chama.
 
Back
Top Bottom