Recent content by Mahunguchila

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anapokataa kufanya mapenzi unafanyaje?

    EEhhhh jamaniiii!!!
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anapokataa kufanya mapenzi unafanyaje?

    Muelewe kama alivyosema tu mbona simple? Hayupo tayari!! Miezi 5 unaona anakuchelewesha??Wenzio walisubiri for 6 years ndo wakapewa game
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba sana mnisaidie

    Asante
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba sana mnisaidie

    Nipo katika mgogoro mkubwa katika mahusiano yangu na NINAOMBA wana MMU mnisaidie. Nisingependa kuueleza hapa kwa sababu mhusika pia ni member humu. Tafadhali mnisaidie nim PM nani na nani ambao wanaweza kunisaidia katika shida yangu hii! Sio active member sana humu ila ninaamini wapo watu wazima...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa ustaarabu basi

    Eeeeh, dada smile iyo signature yako imeniwacha hoooi!
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini ndoa za siku hizi zinavunjika haraka tofauti na ndoa za zamani?

    Nimeshuhudia ndoa ya kutoa nuksi, dah! Kijana aliingia chaka kwa mdada aliyeshindikana kwao, alipoenda kutambulishwa wazazi walifurahi maana walishamchoka kumbe nae bi dada alikuwa anataka kutoa nuksi tu. Kaolewa kwa harusi ya nguvu baada ya miezi 3 wakati mume yupo kazini bibie kahama nyumba na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sugar dady wa kunilea

    Hahaha, umenikumbusha enzizile tupo chuo kuna watu jamani walikuwa na maisha ya ajabu!!!Yaani anaigiza maisha ya hali ya juu ili hali ye wa mkate na parachichi hahahaha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sugar dady wa kunilea

    Humu hakuna anyekwazika ila wazazi wako wangesikia haya im sure 100% wangekwazika. Tukwazike sie kwani tulikuzaa??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sugar dady wa kunilea

    Utaweza tu kwani 'wao wanaoweza wana nini hata wewe ushindwe unanini' kwa tone ya Juma Nature
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ya leo kali...

    Ya kawaida tu kama ya.. na y....
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ya leo kali...

    Sasa ningefanyaje mwwenzio? Si unajua tena macho hayanaga pazi
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Palizi la bustani

    Ras weka picha tuone jinsi bustani yako ilivyosheheni majani na maua...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madeni yanavuruga mahusiano na watu wangu wa karibu...nami kutomkopesha mtu nashindwa

    Kabisa mkuu, halafu sijui kwa nini watu wanakosa aibu!Mimi nikiwa na deni hata la buku tu kwa mtu sina amani!
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ya leo kali...

    Bora hawa wanaonekana wapo ufukweni
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ya leo kali...

    Yangu yapi sasa? Au nimekosea kumshauri mwanamke mwenzangu ajisitiri?????
Back
Top Bottom