Recent content by Mahundi L

  1. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO kupitisha NGUZO NA WIRE ZA UMEME bila kumshirikisha mwenye shamba ni sawa?

    Kuna kijiji wamekata mikorosho ya watu ni halali kweli bila fidia?
  2. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Je, Vijana wa elfu mbili Wana Makosa au Tunashindwa Kukubaliana na Hali Halisi?

    Hiki kizazi kina mengi sana moyoni.
  3. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Keki ya Taifa, ila Tangazo limetolewa pasipoti na taarifa hata kwenye vyombo vya habari 😁😁🇹🇿
  4. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    😄😄😄🫡
  5. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe maelezo, kwanini Magari ya Serikali yamepata ajali kwenye shughuli zisizo za Kiserikali?

    Vipi kwenye huo msafara hakukuwepo na viongozi au watumishi wa serikali ambao wanatekeleza ilani ya CCM?
  6. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

    [emoji23][emoji23] hakika Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
  7. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa anatoa wapi mamlaka ya kubadili sheria za TRA?

    [emoji23][emoji23][emoji119] Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
  8. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    Wakuu kuna dada anatafuta kazi ya Stationary yupo Dar, maeneo ya Gongo lamboto.
  9. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Tunaposema "Mungu Wabariki Wazungu" muwe mnaelewa tunachomaanisha

    [emoji848][emoji848] kwani wanatoa bure bure!![emoji23]
  10. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

    Tupo nyuma hapa, bila shaka kitakuwa na nguvu sana.
  11. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alinunua ndege mbovu ndiyo maana sasa hivi ATCL wanahaha

    [emoji23][emoji23] hii ndio bongo bhn
  12. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ameona Njia pana ya Kumtukana Magufuli itampoteza ameamua kupita Njia Nyembamba ya Kusema Ukweli kuhusu Maisha!

    Kumuongelea mtu ambaye hawezi kujibu ni ujinga mtupu.
  13. Mahundi L

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna matatizo mengi zaidi ya kebehi kwa Hayati Magufuli, Wanasiasa wanaotumia kichaka hichi Tuwakatae hadharani

    Ni wajinga tu, na tumeuchoka huo ujinga wao. Tuna matatizo mengi sana katika nchi hii, haiwezekani watu mpande majukwaani kumuongelea mtu ambaye hawezi kusema wa kujibu. Ni upumbavu.
Back
Top Bottom