Recent content by Mahrez

  1. Mahrez

    JamiiForums Tanzania Dereva na udereva

    Natumai mko sawa kiafya Lengo la kuanzisha uzi huu ni kupeana mbinu {njia} tofauti za udereva kama kusomea udereva kutafuta leseni kurenew leseni na ajira za ndani na njee ya nchi na kadhalika
  2. Mahrez

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dua kuna option hazina stress kama hizo na zikipatikana nyengine ziletwe
  3. Mahrez

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa mfano game ya Newcastle hpo ingia kisha tafuta kipengele kimeandikwa first to happen ukiingia itakuta hiyo option then utanpa mrejesho
  4. Mahrez

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Zpo mbona na kibaya zaidi mimi sijui kutuma kodi sasa nilipoona maendeleo hayana chama nikaona nilete kwa mfumo huo tufaidi wote
  5. Mahrez

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nimeeka 1400 napima upepo
  6. Mahrez

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ipo siku utaniomba namba ili unipe ya pongezi
  7. Mahrez

    JamiiForums Tanzania Karibuni tuoneshane Dawa za Kiasili za kabila lenu Kwa Picha au maelezo ya Maneno

    Ngoja niitafute hiyo mimea niipge pcha
  8. Mahrez

    JamiiForums Tanzania Karibuni tuoneshane Dawa za Kiasili za kabila lenu Kwa Picha au maelezo ya Maneno

    Dawa ya vidonda vya tumbo ninayo kesho tukumbushane ishaallah
  9. Mahrez

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mpishi yupo mapunziko akitoka huko Madrid wataisoma namba Na haaland ajiandae kupiga hattrick
  10. Mahrez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Poa ndio naelekea hivi kisha nitakupa mrejesho
  11. Mahrez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Ok nmejaribu kukufata kule pm lakini naona mambo hayajakaa sawa Tatizo ni kujua nikienda mtaa flani au kwa mtu flani naweza kupata na jana nimesafir nipo unguja mda ingekuwa vizur kama utanielekeza wapi nianzie
  12. Mahrez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Zanzibar maeneo gani sikai mda mrefu naenda mara kwa mara {ni nyumbani} Nahitaji hizo kwa ajili ya kuwauzia wavuvi wanàochanganya kwenye petrol nina chimbo langu maeneo flani
  13. Mahrez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo. Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani. Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa...
  14. Mahrez

    JamiiForums Tanzania Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

    Hizo alfu 25 rejareja?🥺🥺🥺
  15. Mahrez

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🥺🥺🥺🥺
Back
Top Bottom