Recent content by mahogany

  1. mahogany

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya singida leo kumbe wote wanajaza watu

    Tulienda kun angalia domolandomo platnum
  2. mahogany

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    Dr Slaa anamaarifa sana, magamba wajipange kung'oka.
  3. mahogany

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Hii ni baada ya mbunge huyo wa viti maalum Jana usiku kuhonga nguo aina ya madira ya chadema kwa kila mjumbe Wa BAWACHA kata zote za jimbo la Shinyanga mjini na Leo asubuhi kuwaleta kwa magari kutoka makwao mpaka eneo ulipofanyika uchaguzi wa ndani wa mgombea ubunge na baada uchaguzi...
  4. mahogany

    JamiiForums Tanzania Uongozi CHADEMA Wilaya Shinyanga Mjini, acheni kukanyaga demokrasia ndani ya chama

    Naombeni msaada ntaifikishaje makao makuu hii taarifa.
  5. mahogany

    JamiiForums Tanzania Uongozi CHADEMA Wilaya Shinyanga Mjini, acheni kukanyaga demokrasia ndani ya chama

    Kaka cwezi kuwa act, imenilazimu kufanya hivyo watu tunatishiwa uchawi. I love cdm forever ever
  6. mahogany

    JamiiForums Tanzania Uongozi CHADEMA Wilaya Shinyanga Mjini, acheni kukanyaga demokrasia ndani ya chama

    Ukisoma kwa makini ukaelewa, huta nilaumu.ndani ya chama yameshindikana, wala ccm hawawezi kucheka hayawahusu.
  7. mahogany

    JamiiForums Tanzania Uongozi CHADEMA Wilaya Shinyanga Mjini, acheni kukanyaga demokrasia ndani ya chama

    Hii ni baada ya uongozi wa wilaya kuzuiya viongozi wote wa kata kukutana na watiania ya udiwani, wala kufanya mikutano ya hadhara ili watia nia wajitambulishe kwa wananchi. Pamoja na CHADEMA shy mjini kushinda viti vingi vya mitaa, kwa mwendo huu tusipokua makini tutapoteza hata viti vya...
  8. mahogany

    JamiiForums Tanzania Vita Kali: Samwel Sitta Vs Maaskofu

    Nani anaafya mbovu! sita ni mzima kuliko lowasa
  9. mahogany

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Zitto Kabwe kashindwa kulimega Baraza kuu la CHADEMA au wenyeviti wa Mikoa?

    Lakini sasa hivi imani yangu ni kwamba Act ni project ya Ccm kuchelewesha mabadiliko, kazi ambayo Zzk alikuwa akiifanya kwa bidii alipokuwa Cdm.
  10. mahogany

    JamiiForums Tanzania Kulikoni CUF, NCCR; kwa mtindo huu tutachukua nchi kweli?

    Kwakua ruzuku yao haitoshi wajitahidi kadri ya uwezo, wachangishane.
  11. mahogany

    JamiiForums Tanzania Kulikoni CUF, NCCR; kwa mtindo huu tutachukua nchi kweli?

    Usiwadis wameshaskia kaka mkubwa
  12. mahogany

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

    Hawezi kula matapishi
  13. mahogany

    JamiiForums Tanzania Rais wa chuo cha Bugando apatikana usiku huu (Juni 21) akiwa hoi na hajitambui

    hii ndio kazi ya serikali ya kikwete, "mpigwe tuu maana mmezidi kutetea haki za wanannchi".
  14. mahogany

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndani ya tamasha la 'Naiaminia Tanzania"

    Umeona ee asante
  15. mahogany

    JamiiForums Tanzania CHADEMA,dhambi hii itawatafuna katika uhai wenu,mwanaisasa huyu amewakosea nini?

    habari zenyu wadau, ni heri kuwasalimu kuliko kumjibu pungazeze.
Back
Top Bottom