Kwa hali ya singida leo kumbe wote wanajaza watu

Kwa hali ya singida leo kumbe wote wanajaza watu

mwakweya70

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
414
Reaction score
106
Leo nimepata fursa ya kuangalia mwanzo mwosho,mkutano wa kampeni wa magufuli,idadi ya watu waliokuwepo,nimeamini kuwa kumbe kwa mwaka huu kujaza watu,si kigezo,maana wagombea hawa ccm wanajaza watu pia kibao,awali nilikuwa nikitishwa na umati mikutano ya ukawa nimegundua kwa kigezo cha kujaza watu ccm ni zaidi ya ukawa.tusubiri kupiga kura tu,hapa kazi kweli
 
utajijua wenyewe mwambie magufuli aulize raisi nani hapo usikie huo mchanganyiko. then aende bila wanamziki kama ukawa ndo tutaweza kupima vizuri
 
leo nimepata fursa ya kuangalia mwanzo mwosho,mkutano wa kampeni wa magufuli,idadi ya watu waliokuwepo,nimeamini kuwa kumbe kwa mwaka huu kujaza watu,si kigezo,maana wagombea hawa ccm wanajaza watu pia kibao,awali nilikuwa nikitishwa na umati mikutano ya ukawa nimegundua kwa kigezo cha kujaza watu ccm ni zaidi ya ukawa.tusubiri kupiga kura tu,hapa kazi kweli

okoa twiga kusafirishwa, uonevu kwa wastaafu, makato makubwa ya kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi, ajira za upendeleo, katiba ya chenge na sitta, vyeo vya kulipana fadhila, meno ya tembo, gesi, madini na rasilimali nyinginezo, kwa kuikataa ccm.

Ccm ni lazima iondoke sasa.
 
Hivi unaweza kukubali kuwa Diamond,Ally Kiba ama Dude wanakubalika kuliko JPM?..Sasa wanawatanguliza hao watoe burudani halafu wanazuia watu wasitoke hotuba zikianza mpaka JPM amalize mbwembwe zake za push ups,rhumba na lugha gongana jukwaani!!.Mahaba tu ndio yanawavuta Wanamabadiliko kwa Lowassa!
 
Mmewaleta watu kwa malori afuu mnadai watu walijaa!!! Kabisa kwa macho yangu nliona malori matupu yakielekea kinyeto na kurudi yakiwa yamejaza akina mama na dot za vitenge vyenu ,sa unarudi kusema watu walikuwa wengi tena????
 
Watu wanasombelewa mkoa mzima halafu ulinganishe na wanaokuja kwa hiari?
 
Leo nimepata fursa ya kuangalia mwanzo mwosho,mkutano wa kampeni wa magufuli,idadi ya watu waliokuwepo,nimeamini kuwa kumbe kwa mwaka huu kujaza watu,si kigezo,maana wagombea hawa ccm wanajaza watu pia kibao,awali nilikuwa nikitishwa na umati mikutano ya ukawa nimegundua kwa kigezo cha kujaza watu ccm ni zaidi ya ukawa.tusubiri kupiga kura tu,hapa kazi kweli

kumbe mnawaogopa ukawa....dah basi mshakuwa chama pinzani..
 
Mi mwenyew nilikuwepo mkutanoni.hawa ccm bila kusomba watu hawana lolote
 
Msije mkasahau kuwarudisha home..maana wale wa dodoma wameapa wao na familia zao lazima walipize kisasi kwa kuwanyima ccm kura
 
Mmewaleta watu kwa malori afuu mnadai watu walijaa!!! Kabisa kwa macho yangu nliona malori matupu yakielekea kinyeto na kurudi yakiwa yamejaza akina mama na dot za vitenge vyenu ,sa unarudi kusema watu walikuwa wengi tena????

ulitaka wapelekwe kwa usafiri gan?
 
C iliondoka NA Nyerere Leo miaka 50 nchi Hainan hospitali ya rufaa ya watoto si aibu hii Ccm
 
Hivi unaweza kukubali kuwa Diamond,Ally Kiba ama Dude wanakubalika kuliko JPM?..Sasa wanawatanguliza hao watoe burudani halafu wanazuia watu wasitoke hotuba zikianza mpaka JPM amalize mbwembwe zake za push ups,rhumba na lugha gongana jukwaani!!.Mahaba tu ndio yanawavuta Wanamabadiliko kwa Lowassa!

Hakika umenena! Makufuri kama anataka apime mziko wa Edo ajaribu siku mbili kwenda bila hao mabongo flava atashangaa! Kinachojaza watu ni hamu wa wananchi kuwaona wasanii ambao wengi wao yamekuwa wakililia mziko wao kwenye radio au kwenye TV tu! Hakuna kingine hapo. Anyway si mbaya kujifariji!
 
Leo nimepata fursa ya kuangalia mwanzo mwosho,mkutano wa kampeni wa magufuli,idadi ya watu waliokuwepo,nimeamini kuwa kumbe kwa mwaka huu kujaza watu,si kigezo,maana wagombea hawa ccm wanajaza watu pia kibao,awali nilikuwa nikitishwa na umati mikutano ya ukawa nimegundua kwa kigezo cha kujaza watu ccm ni zaidi ya ukawa.tusubiri kupiga kura tu,hapa kazi kweli
Mimi ninavyoona, hao watu mnaoita mafuriko au fiesta ni sehem ndogo sana ya wa TZ waliojiandikisha au hata kujitokeza siku ya kupiga kura. Mikutano ya CCM/UKAWA kuwa na nyomi la kufa mtu si kigezo ndio wanawapigakura wengi au hata kushinda uchaguzi oct 25. Kuna wapiga kura wengi sana sana ambao hawajui majukwaa ya kisiasa yanafananaje. Ila kwa tathimini ambayo naiona hasa kwa maeneo ya miji mikubwa, kuna voters wengi sana sana ambo hawajui kabisa majukwaa ya kampeni/siasa yanafananaje na wengi wao ni sopporters wa mabadiliko. Mfano pale kazini kwetu - nipo bank, na ni moja ya bank kubwa tatu Tz, nipo head office ambapo kuna idara km nane na staff wengi ni wanamabadiliko na hawajui majukwaa ya kampeni yanafanana vipi. Nilitembelea branches km nane Tz, almost pote nilipopita ni mabadiliko, yaani ukitaka watu wa kuchnjie ongelea CCM. Nikiangalia ndugu zangu, washakaji woote ninao kutana nao ni mabadiliko na still hawajawahi enda kwenye kampeni. Kwa hiyo wingi ule mnaoona si determinant factor ya ushindi..nimefanya tathmini kama mikoa nane, kila kichwa kinaongelea mabadiliko na hawajawahi kwenda kwenye makampeni.
 
Back
Top Bottom