Recent content by mahmetjr

  1. M

    Kila niki-cheat ananiambia ameota ndoto kuwa nina Mwanamke mwingne

    Hiyo shida, atakusumbua kwenye maisha mtakayoishi
  2. M

    Kwa skills zile, why Chama ameshindwa kucheza Ulaya?

    Hajafikia kuitwa Saint, acha kufuru
  3. M

    Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

    Wakimsimamisha Jafo litakuwa anguko la CCM
  4. M

    Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Hapa kunguru ni media
  5. M

    Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Hii family imekaa kwa muda mrefu katika mfarakano. You never knowa what really happen inside the house, ukweli wao watatu ndiyo wanaujua.
  6. M

    Nauza Bati za South Africa

    Unaweza kuweka picha tuzione?
  7. M

    Verossa inauzwa

    Ilikuwa na Exemption ya nini? Toka serikali Kuu? Doctor?
  8. M

    iPhone 5 for Sale!

    Ngapi inaenda?
  9. M

    Hakuna haja ya kuangaika na maji ya DAWASCO, chimba kisima kwa bei nafuu sasa

    Eneo la Mojohe ambalo lilikuwa Reserved Water Table kwa ajili ya Dar. Huko kisima cha mita ngapi kinahitajika mkuu?
  10. M

    Nahitaji kusafirisha gari ndogo kutoka Dar kwenda Shinyanga

    Kuna kijana aliniletea gari yangu Bukoba kwa 300000/= kama hupo tayari nijulishe
  11. M

    Binti wa Paul Kagame anafaa kuwa hata Miss World

    Mbona wa kawaid tuuu, kuna Wanyarwanda wanakimbiza kwa urembo, huyu binti wa Kagame haoni ndani
  12. M

    Masogange akutana na mwenye makalio makubwa kama yake na kulingishiana huko South

    Mbona amemzidi kwa mzigo, Masogange hana kitu
  13. M

    Natafuta gari ya kukodi

    Habari za asubuhi wana jamiii. Natafuta gari ya kukodi kwa muda wa siku mbili, dereva na mafuta juu yetu, bajeti 100000/= kwa siku mbili zote. Mwenye nayo ani pm
Back
Top Bottom