Professor JK atagundua kitu kimoja namba ikibadilika kutoka 2014 kuwa 2015; kuwa miaka yake 10 imekwisha-never to return again. Kwa utafiti wangu mdogo, kafanya mazuri mengi, ila pia watu wanashangilia kila kona ya nchi kwamba kawa mzigo, hususan miji mikubwa ikiwamo Dar, Arusha, na Mwanza...