Dahhhh umenikumbusha madm opiyo nlikuw namuuzia Ubuyu. Gani na ukali wake wote kwangu hakuwa na madhara kabisa. Nadhani hio ilikua 2007 hiv
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kichuguu samahani binafsi ninamiliki landcruiser 70 series yenye engine ya 3b. Je ni oil ipi nzuri. Mileage is about 253000 kms. Pia nina hilux 12r ya zamani kidogo nani itumie oil ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mzee ndo alinipandisha mlima kwa Mara ya kwanza tena njia ya Umbwe japokuwa nilifail pale baranco. Rest in peace Mzee Sarumba. Now nipo mkoa mwingine ningehudhuria msiba
By that time ilikua 15 to 20 k per day mkiwa na bahati unaweza pata tip ya 5 au 10 mpaka 30dollars mda mwingine no tip at all.
Sent using Jamii Forums mobile app
By the way kwenye porters kuna vitengo. Huwa kuna kitengo kinaniacha hoi kitengo cha kubeba choo. Kile choo kinatakiwa kisafishwe na kisafirishwe from camp to camp
Sent using Jamii Forums mobile app
Last time nimepanda as porter ilikua 2015 just imagine pprter ndo mtu wa mwisho kuondoka camp kwa sababu zile tents wanazolalia wageni inabd azianue azipack azibebe then aondoke nazo lakini tena anatakiwa afike next camp wa kwanza ili wageni wakute tents zimesimama tena plus food iwe iko tayari...
Kuna jiwe la kubusu na jiwe la mku........ hili la kubusu inabd upite kati ya mawe mawili yamebanana sana kwa lile la mbele linakua juu sana kuanzia chini kwa hio unakuwa kama vile unalibusu japo si lazima ni utaratibu tu. Then jiwe la mku....u lenyewe unapopita hio sehem hilo jiwe lazma...
Hii ndo toughest ukifika karanga camp unachota maji lita 20 unabeba plus mixigo yako unatembea kwenda barafu camp. Waulize porters(mburuta )watakuambia mziki wa hio route unahc kufakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.