Recent content by Maharo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Tezi dume

    Msaada kwenye tuta wanajamvi Anaefahamu dawa ya uhakika ya kutibu Tezi dume kwa wazee anijulishe tafadhali Whether iwe best hospital au miti shamba ushauri wowote mzuri napokea Asanteni kwa ushirikiano
  2. M

    JamiiForums Tanzania Haya aliyeteuliwa leo kuwa Makamu wa Rais Deo Ndejembi ni Mkatoliki au siyo Mkatoliki?

    Ni mkatoliki hakuna cha Anglican wala nini straight ni Mkatoliki safi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Haya aliyeteuliwa leo kuwa Makamu wa Rais Deo Ndejembi ni Mkatoliki au siyo Mkatoliki?

    Ilikuwa ni lazima Bila shaka walobisha walijua atatoka kwa kina Malasusa hahahhahahah
  4. M

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

    Usiifananishe TEC na bakwata
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Fr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc. Phd Katibu Mkuu wa TEC?

    Aliekutuma mwambie asijaribu kutingisha meza yenye pombe za bei ghali
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vijana waanza kuulizia Ratiba na Njia za maandamano ya Amani ya 7/7

    Naishauri serikali iruhusu maandamano haya ya amani na polisi usithubutu kutumia nguvu kwa gharama yoyete
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar limenishinda kuishi. Wengine mnawezaje au mnajikaza?

    Dar ni sehemu ya hovyo sana kuishi kama mtu unajipenda na kuraka maisha ya utulivu Ni vile tu watu wanapashobokea lakini hapana jipya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hili suala ya michanga kwenye sukari na unga ni janga la Kitaifa mamlaka husiki angalieni hili

    💯% correct wanaongeza michanga humo kuongeza kilo waathirika wanakuwa walaji HILI NI JANGA KUBWA
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hili suala ya michanga kwenye sukari na unga ni janga la Kitaifa mamlaka husiki angalieni hili

    Doh poleni sana sasa bora kwenye mchele waweza kuchambua mm nazungumzia unga wa ngano,sembe unakula ugali huku unakula na mchanga
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hili suala ya michanga kwenye sukari na unga ni janga la Kitaifa mamlaka husiki angalieni hili

    Anataka kutuuwa waTanganyika wote tufe nini ili wabaki na nchi yetu maana ni shida
Back
Top Bottom