Huyu jamaa anaongea pumba tupu.
Mimi sijaona kibaya alichoongea Mbowe kwani ni hali halisi Tanzania sasa tunaelekea kubaya na wa kulaumiwa si mwingine bali Serikali inayoongozwa na Mhe. Rais JPM. Huu udhalimu wanaofanya hauna tofauti na ukoloni wa Waafrika wenyewe kwa wenyewe na hakika...
Inashangaza kwamba bado Watanzania wenye uelewa kama wewe unapigia debe Siasa za Kishabiki badala ya Maendeleo. Hivi kama CHADEMA wangeandamana unadhani madhara yangetokea kwa Waandamanaji tu? je wananchi wanaowazunguka?
Kumbuka amani inapochafuka haingalii kwamba wewe uko chama gani bali...
Leo ndio unamuona SLAA wa maana eeeh. MA-CCM bwana wakati mwingine wananishangaza sana. Wanawasema UKAWA kwamba wanakula matapishi yao kwa kumkaribisha LOWASSA lakini wakati huo huo wao wenyewe hawaoni kula matapishi yao wanapomsifu SLAA ambaye walikuwa wanamkandia na kumwita PADRE hawezi kuwa...
Kwa mtu anayependa mageuzi nchini hawezi kwamwe kuhoji uamuzi wa UKAWA kumsimamisha LOWASSA kama mgombea URAIS. Hii ni hatua muhimu sana katika juhudi za kuing'oa CCM madarakani.
Slaa ana maamuzi yake na yeye ni mwanachama wa CHADEMA kama wanachama wengine. Akiamua kuondoka CHADEMA ni maamuzi yake kumbuka alitokea CCM ambako alikatwa mwaka 1995 akaja CHADEMA na ndipo nyota yake kisiasa ilipong'ara. Kwahiyo CHADEMA kama chama kimenufaika sana na mchango wa SLAA kama...
Hapo sidhani kama atasikia sana sana ndio atazidi kudanganya tena kwasababu ameshaona kuwa WATZ wengi ni limbukeni na wanasahau haraka kama kuku wa kienyeji. Leo hii Pinda amewadanganya Waislamu kwamba serikali itapeleka mswaada wa mahakama ya kadhi kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano na...
Ni kweli kabisa Tanzania, Zambia na nchi hizi za kusini mwa Afrika kuna wanaume wafupi sana. Na ndio maana hata kwenye mambo ya michezo hasa mpira inakuwa ni vigumu sana kupata timu huko ULAYA. Yaani inabidi ufanye kazi ya ziada sana.
Ni kweli kabisa Tanzania, Zambia na nchi hizi za kusini mwa Afrika kuna wanaume wafupi sana. Na ndio maana hata kwenye mambo ya michezo hasa mpira inakuwa ni vigumu sana kupata timu huko ULAYA. Yaani inabidi ufanye kazi ya ziada sana.
Ninyi CCM ndio wanafiki kama leo mnawaita Maaskofu na viongozi wa Dini kwamba wanaingiza Siasa Makanisani mbona sasa mwaka 2005 hao hao maaskofu walipomfanyia kampeni KIKWETE makanisani na kudai kwamba ni chaguo la Mungu hamkusema kitu? Wanafiki wakubwa ninyi.
donniebrasco
Ni kweli Wayahudi wengi hawakumkubali Yesu na bado dini ya Kiyahudi ipo mpaka leo hilo hakuna aliyepinga. Lakini Wayahudi ni Taifa teule la Mungu na kutomkubali Yesu kulitabiriwa na Nabii Isaya yapata miaka 800 kabla ya ujio wa Yesu mwenyewe. Soma Isaya 7:14, Isaya sura ya 53...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.