Unaesema hivyo itakuwa hsutoki sehemu yenye shughuli za uvuvi. Ama ni mtu unaesoma uvuvi kwenye makaratasi tu. Watu wanaotoka sehemu zenye uvuvi wanajua ndio mana juzi juzi wabunge wanaotoka sehemu hizo wameongea sana. Ni muhimu kushirikisha wadau husiku kwa karibu kabla ya kufanya maamuzi...
Sekata ya uvuvi watu wengi ambao hawatoki sehemu hizo hawazijui vizuri. Na makatazo hayo mengi yanategemea watu wanaosoma uvuvi kwenye vitabu tu. Katika maziwa yote wapo aina ya samaki ambao ukubwa wao mwisho inchi 1.5 sasa unapokataza Nyavu ya size hiyo hao samaki wavuliwe Na Nini? Kuna Mambo...
Ya kawaida tu siku hizi! Nani anaona nyoka ni wa ajabu siku hizi? Ndivyo maumbile yalivyo hata uvae bukta au suruali na kwenda kuogelea ukilowa nyoka ataonekana tu dada. Si dhani kama anakushtua sana si umezoea kumwona mubashara
Kwa hiyo lulu alifanyishwa sio? Daa nchi hii wananchi wake wakati mwingine ngumu kuwaelewa. Leo watashabikia fulani ahukumiwe kesho mtu mwingine kafanya kosa watatafuta huruma
Kalivyokuwa kanafany uhuni mbona hakuna aliyeinuka na kusema ni katoto? Zaida kalilewa sifa na kuchanganya mabwana. Aende ili iwe fundisho kwake na wengine
Ndugu Mayalla pendekezo lako Kwa Rais lina walakini nyingi hasa kutokana na misingi uliyotumia , mfano apate umaarufu kaskazini, kukipa chama kalata, pia mharifu ni mtu anaependwa Na watu. Hapo hapo unasema unajua sheria. Sasa mbona unachanganya mambo? Kweli msamaha wa Rais utolewe Kwa hizo...
Very logical point. Ndicho kilichotakiwa kufanywa. Je ufuate urasimu mtu afe useme tulikuwa tunafuata taratibu au kuvunje taratibu ili kuokoa uhai wa mtu? Uhai kwanza taratibu badae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.