Hivi mbona mi sielewi.iweje zitto apeleke kesi mahkama kuu wkt anajua katiba ya chama cha chadema kikisema atakaye enda kufungua kesi huku si mwanachama tena? Na hii kesi mbona lissu hakutamka mapema kama ni kosa kwa mujibu wa katiba na nijuavyo hii kesi ina muda usopungua miaka 3.na mahkama...
Toba! Jirani yangu pia aliwahi kutumia na anadai kapona kbs ila yeye alikuwa akinywa.jmn isije kuwa mwizi aliingiza mkono kwy tundu wakakata mkono.akamwambia mwenzie jaribu na wewe uone.ila kwa kusukutua hakika ni dawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.