Feedback: Mkojo umetibu maumivu kwenye meno yangu

Wizvee

Senior Member
Mar 5, 2015
106
44
Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa na meno kwa muda mrefu.. Na nimetumia dawa nyingi bila kupata ahueni yoyote.

Ila juzi kati nilisoma thread moja ivi ya Mzizi Mkavu nikaona jinsi ya kutibu Meno kwa kutumia mkojo wako wa asubuhi.

Daah nashkuru Mungu sasa ivi nimepona kabisa..

Ahsante sana
Mzizi Mkavu.
 
nakumbuka utotoni nikiwa na miaka 8 hivi nilipata matatizo ya meno, mjomba wangu mmoja aliniambia kuhusu hiyo tiba, nilifanyia kazi hadi leo meno yangu yapo imara. japo kuwa ukisiliza watu waweza shindwa, lakini ni tiba nzuri na ya bure
 
mi mwenyewe mwanzo nlihisi kama ni utani ivi...
Lakini nilipojaribu, daah, kilaki2 kimeenda vzr
 
Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa na meno kwa muda mrefu.. Na nimetumia dawa nyingi bila kupata ahueni yoyote.

Ila juzi kati nilisoma thread moja ivi ya Mzizi Mkavu nikaona jinsi ya kutibu Meno kwa kutumia mkojo wako wa asubuhi.

Daah nashkuru Mungu sasa ivi nimepona kabisa..

Ahsante sana
Mzizi Mkavu.

Naomba heading ya hiyo thread
 
Pls naomba unielekeze hyo tiba unafanyaje ahsante.
 
Imechukua Siku Ngap Mkuu
Unakojowa asubuhi unakinga mkojo wako kabla ya kula au kunywa kitu kisha unautia mdomoni na kusukutuwa kwa dakika kama 5 kisha unatema huo mkojo mdomoni. Unafanya hivyo kwa muda wa siku 3 hutoumwa tena na maradhi ya meno maishani mwako.

Naomba heading ya hiyo thread
Mkuu Tee Bag bonyeza hapa.Topic: Mkojo ni dawa???

Unafanyaje
Unakojowa asubuhi unakinga mkojo wako kabla ya kula au kunywa kitu kisha unautia mdomoni na kusukutuwa kwa dakika kama 5 kisha unatema huo mkojo mdomoni. Unafanya hivyo kwa muda wa siku 3 hutoumwa tena na maradhi ya meno maishani mwako.

320px-Weewee.JPG

Mkojo wako ni Dawa ya maradhi mengi dawa ya maradhi ya Vidonda vya tumbo , maradhi ya figo, Maradhi ya

Ugonjwa wa Kansa za aina yoyote ile , Maradhi ya Hepatit B,Hepatit C, Maradhi ya Pumu, Na kila Maradhi

yasiyotibika Ma-Hospitali mkojo wako ukinywa wewe mwenywe Asubuhi glasi 1 kabla ya kula kitu kwa muda wa

siku 21 utapona kwa hayo maradhi niliyotaja hapo juu. chanzo.Urine Therapy Testimonials
 
Je kipimo chake ni ukubwa gani?

Je unameza au unatema kwa maana ya kusukutua tu!

Ikiondokea mkojo una maambukizi kama vile kichocho, UTI, et al, itakuwa bado ni salama kutumika kama dozi? Tafadhali mkuu Mzizi mkavu nipe darsa humu JF kwa faida ya wote au ni pm! Nitashukuru daktari wa tiba mbadala MMkavu!
 
Toba! Jirani yangu pia aliwahi kutumia na anadai kapona kbs ila yeye alikuwa akinywa.jmn isije kuwa mwizi aliingiza mkono kwy tundu wakakata mkono.akamwambia mwenzie jaribu na wewe uone.ila kwa kusukutua hakika ni dawa.
 
Mkjo wa kiasi ya kuweza kuweka mdomoni kusukutuwa na kwa dakika 5 na kutema kila siku asubuhi kabla ya kula au kunyw akitu kwa muda wa siku 3 tosha Mkuu CHAZA Hutoumwa tena na Maradhi ya meno.
 
Last edited by a moderator:
Toba! Jirani yangu pia aliwahi kutumia na anadai kapona kbs ila yeye alikuwa akinywa.jmn isije kuwa mwizi aliingiza mkono kwy tundu wakakata mkono.akamwambia mwenzie jaribu na wewe uone.ila kwa kusukutua hakika ni dawa.
Unaweza Kunywa kwa ajili ya Kutibu dawa ya maradhi ya Vidonda vya tumbo , maradhi ya figo, Maradhi ya

Ugonjwa wa Kansa za aina yoyote ile , Maradhi ya Hepatit B,Hepatit C, Maradhi ya Pumu, Na kila Maradhi

yasiyotibika Ma-Hospitali mkojo wako ukinywa wewe mwenywe Asubuhi glasi 1 kabla ya kula kitu kwa muda wa

siku 21 utapona kwa hayo maradhi niliyotaja hapo juu. chanzo. Topic: Umetenda maajabu, siwezi kueleza!!!
 
Hii hatari, mkojo ni kama mavi au jasho....ni uchafu unaotoka mwilini. Ushauri wangu ni kuwa unaweza kujidanganya umetibu meno ukaishia kupata tatizo kubwa mbeleni
 
Mkuu Uliza_Bei kama jina lako jinsi lilivyo na wewe usipende kupinga kitu wakati huna elimu nacho nenda kawaulize Ma-Daktari wanaojuwa elimu ya Tiba ya mkojo watakujibu sio kupinga kitu wakati huna elimu nacho. kama hujuwi kitu uliza wenzio au peleleza kisha uje unipinge na ulete ushahidi wako hapa. Nani kakwambia kuwa mkojo ni uchafu? Lete ushahidi wako sio kusema maneno ya pumba hapa.
 
Back
Top Bottom