Recent content by magwamaka

  1. magwamaka

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufukuzwa kwa watu/kwa ndugu tukumbushiane ilikuwaje

    Atakuwa alikuwa mpare au muha huyo
  2. magwamaka

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufukuzwa kwa watu/kwa ndugu tukumbushiane ilikuwaje

    Watakuwa walikuwa wapare hao akina Mshana hahhaaaa
  3. magwamaka

    JamiiForums Tanzania Benki gani inatoa huduma ya Recurring Depost hapa Tanzania?

    Mtoa post je kuna faida yoyote let say nikaema kila siku na deposit 50,000 je napata faida ya % ngapi kwa siku au kwa mwezi au kwa mwaka
  4. magwamaka

    JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa pili sasa tumenuniana mi na mke wangu

    Mwanaume hanuni ,wewe ndiyo kichwa cha familia unapaswa kusolve matatizo ya familia ,ndoa nyingi sasa hivi kwa sababu wanaume hawasimami katika nafasi zao,ndiyo maana tunapata watoto na Taifa lisilo na maadili kwa sababu ya wanaume kama ninyi
  5. magwamaka

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo

    Jamani huku wanaume mnacomment wakati uzi ni wa wawanawake tutawavusha Madela ohooo
  6. magwamaka

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ni mbaya sana kwa walemavu tuliosoma, Si Serikali wala kampuni binafsi ambazo ziko tayari kutuajiri. Tunabaguliwa

    Pole sana kiongozi Mungu akasimame nawe nankukutimizia haja ya moyo wako
  7. magwamaka

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

    Tunawaombea wafanikishe jambo hilo maana ndoa sio mchezomchezo
  8. magwamaka

    JamiiForums Tanzania Jumba la makumbusho ya Bob Marley (Bob Marley Museum)

    Watu wana akili sana
  9. magwamaka

    JamiiForums Tanzania Jumba la makumbusho ya Bob Marley (Bob Marley Museum)

    😀😃😄😄
  10. magwamaka

    JamiiForums Tanzania Rest In Peace Professor Kiah Duggins

    Duh so sad inaumiza sana
  11. magwamaka

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baba mkwe katupa kiwanja nijenge na mwanaye wa kike. Ninasita, nikubali au niache sababu naingia mtegoni?

    Atakuwa mchaga tu huyo hakuna kabila linaloweza kuwapa wanandoa kiwanja zaidi ya wachanga
  12. magwamaka

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kufuta email zilizojaa

    Ahsanteni ndugu zangu nimefanikiwa Mungu awabariki sana kwa utayari wa msaada wenu
Back
Top Bottom