Recent content by MAGUNJA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimechimba kisima kwa 5.8mil nasambaza maji mtaa mzima; Nashangaa miradi ya Serikali huwa inakwama wapi

    Maji ya chini ya ardhi hata kama ni chini ya kiwanja chako ni mali ya serikali. Lazima upate kibali kuchimba. Tukija tunataifisha
  2. M

    JamiiForums Tanzania 1.5 Trilion na Mjadala wa budget

    Argument with lots of cracks
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa mtoto wa Lowassa aomba radhi kwa kumdhalilisha; asema tukio limechukuliwa kisiasa na sasa anakosa amani

    CAG report kama ushawahi isikia itakujulisha nani fisadi hapa tz
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya dini inavyojipotezea heshima nchini Tanzania!

    Binafsi naliheshimu kanisa zaidi sasa. Kwangu hawajapoteza Bali wameongeza heshima.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya dini inavyojipotezea heshima nchini Tanzania!

    Pole
  6. M

    JamiiForums Tanzania NMB Salary Advance acheni wizi

    Hizi math!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Nimeulizwa kuhusu matamko, hatuoni cha kujibu zaidi kuwatakia Pasaka njema

    Mjikitage kwenye hoja zao badala ya nukuu zilizopitwa na wakati
  8. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Hata kama kazi yao sio siasa, magazeti hawasomi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali mnayaacha Makanisa yanafanya harakati?

    OK. Tufanye wamepoteza muelekeo na wamechanganya dini na siasa. Na walichoongea ni mitazamo yao wala siyo ya waumini wao. Na labda tuangalie adhabu yao kwa hilo. Sasa turudi kujibu hoja zao. Zina ukweli au hazina? Mleta mada.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Makanisa ya Tanzania yanakengeuka? Tuanze na Tamko la KKKT

    Mamlaka yametoka kwenye biblia na kitabu na aya umewekewa!! Ebo!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Kwani mwezi umeisha? Wait!
Back
Top Bottom