Bonge
Bonge LA point... kapitia mfumo halali.. hajaiba wala kugushi.... ni ufinyu tu Wa fikra za Ndugai wa kudharirisha upinzani... kwanini asitaje mkopo wake pia Na wanaccm wore?
Binafsi sikushangai wewe wala spika Ndugai... hata mm pia nasimama Na Magufuli.......
Kibusara tu si vyema kutaja siri za mteja na kwa kuwa Benki alikokopa hawajafika kushitaki kuwa kashindwa kulipa wala hawajatangaza majina ya wadaiwa sugu basi kwangu hii agenda ni mwendelezo wa kushambulia...
Umepeleka umbea wa uzi wa kuomba magufuli sijui amsamehe mbowe cjui afanye nini na nini... now upo kupambia huku tena.... wewe ni kaburi...ushabiki ni mbya sana... ichaji akili yako kwanza
Nikushauri tu kwa faida yako na kikazi chako.. kumfunga mbowe ni ndoto, nakushauri urudi ukalale upya na ikiwezekana uote kingine sio hicho ulichoandika na kuanza kukipigia debe mwenyewe tena humu..... Mbowe hawezi omba radhi kwa kile asichokijua.... nazan kiasi utanielewa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.