Recent content by Magugu

  1. M

    G. Lema: “Serikali huwezi kutibu Malaria kwa kumpa Mgonjwa Panadol”

    Ni Ujumbe unao gusa kila mwenye uchungu na Nchi Yetu. Nafikiri Magamba hayana Uchungu sijui wanajipanga kutafauta pa kuchomokea au! Magamba acheni maneno kutamka maneno ya UKABILA AU UDINI hatuta kuwa salamaaaaaaaaaaa
  2. M

    Chuo kikuu mpaka kuamua kutakaku-apply jeshi.....

    Hebu kaa tena uandike vizuri tujue ni masaada gani unataka maanake hueleweki kabisaaaaa. Inawezekana ndo maana unakosa kupata hizo nafasi kwa sababu kujieleza kwako hakujitoshelezi. Au unaweza kujieleza kwa kiingereza kiswahili ni tabu basi fanya hivyo. Na kama kiingereza nacho ni tabu basi hapo...
  3. M

    Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

    Nyamafu wewe. Yaani mtu anayepigania haki za watanzania unasema aache angalie maisha yake na watoto wake kama wewe na magamba msivyokuwa na uhuruma na wananchi wa Nchi hii. Nyie subirini kama hamjifunzi kutoka kwa wenzenu huko mashariki ya kati Shauri zenu
  4. M

    Dah..Uongozi kwa style hii sio Tanzania...

    This guy seems to exceed the level of stupidity. You are wasting our time to read your stupidity here find a man to work on your back
  5. M

    Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

    Very stupid argument yaani kama hujui kwa lipi na gharama za nani better shutter up. Hiyo tume ya polisi unafikiri hawalipwi?? na kama wanalipwa ni kwa gharama za nani? What important burning problems you have if not scarring M4C tutakavyo waburuza hapo baadaye? Kwa sababu mmekosa utu wa...
  6. M

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Haha pole sana. Yaani kitu kidogo unashindwa kujiuliza? Hili la kupelekwa nje ndo jamaa wanapigania wapewe vifaa vya kufanyia kazi. Kama zingekuwapo machines nani angeenda huko? Hujui ni kwanini magamba yameamua yasitibiwe nchini? Unaweza kutumia % kidogo ya ubongo kwa kujiuliza maswali mengi ya...
  7. M

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Hili swali halina mantiki kabisa kwa watu wenye uwezo wa kufikiria kitaalam. Je ni wagonjwa wangapi wanaokufa kwa ajili tu Dr ameshindwa kufanya diagnosis because hana vifaa? Au unafikiri ukienda hospital ukakutana na Dr basi umeshapata tiba? Kuulizwa unaumwa nini ni kwa inamsaidia Dr kuelewa...
  8. M

    Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

    Nakuunga mkono kabisa hawa jamaa hawawezi kutuchagulia marafiki japo hizo pesa wanaozila ni magamba. Zingekuwa zinafanywa kwa ajili ya maendeleo ya watanzania hawa US na UK hana sababu ya kutwambia kitu. Misaada ambayo wamekuwa wakiitoa imesaidia nini kama si wao wamekuwa wanafaidi zaidi kutoka...
  9. M

    Chadema yapewa gari na yazidi kujipanua hadi nje ya Tanzania

    Dr wa madawa ya kienyeji nini. Nyie ambao mlikuwa mnanufaika na ufisadi wa CCM mnabalaa saana. Sasa wewe unataka mpaka waibe pesa za wavuja jasho wakanunue mavx kama magamba wenzio. Kafie huko na wivu wako
  10. M

    Gamba lazidi kuwa hoi bin taabani

    Poleni sana wanaojidanganya Mukama kuwa ni tatizo. Ata mkitaka muwe na katibu mpya kila baada ya week moja hakuna mabadiliko yoyote. CCM mmenshakuwa kichefuchefu sana kwa watu na kama kuna wanaowashahabikia ni wale wanaopata makombo au uchakavu unaotokana na ufisadi wenu. Mnakaa mnapitisha...
  11. M

    TAKUKURU ni kama vinyago vya kwenye majaruba - Mbunge

    Yaani kati ya watu ambao wanakula pesa za Nchi bila kazi ni hawa TAKUKURU sijui kwanini Bunge lisikomae wawaondoe waachie polisi tu. Kuhakikisha kuwa wao inawezekana wakawa miongoni mwa wapokea rushwa wapigwe investigation kwa mali walizonazo Sitaki kuwasikia kabisa
  12. M

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Utaratibu wa ukaguzi wa Bidhaa kabla ya kuingizwa Nchini: Kati ya vitu ambavyo vinasumbua viongozi wetu wanapopewa madaraka ni umbumbu. Haiwezi kuingia akilini kwamba kupitishwa kwa utaratibu huu kutafanya Tanzania iingizwe bidahaa zenye ubora tu. Hili haliwezekani kwa sababu zifuatazo: 1...
  13. M

    Ajira za wabunge wa CCM Same kuota mbawa kabla ya 2015. Jionee matukio katika picha

    Yaani walimchagua Matayo kwa ushaabiki tu huyu jamaa ni msanii sana wasitegemee atawasaidia. Yeye ni mtu wa kujipendekeza kwa JK ili apewe uwawaziri. Na hii ndo itakuwa mwisho wake sasa sijui atarudi tena chini kuongea na washikaji wake wa wakati ule. M4C hatuendekezi kuwapa watu vyeo kwa...
  14. M

    Dr. Mwakyembe, David Mattaka hakuwa Mstaafu alipoteuliwa kuwa CEO wa ATCL?

    Hivi nyie mnao kuwaga mnatetea watu wanaofuja mali za umma huwa mnaakili gani? Hahiitaji TAKUKURU ambayo sioni kama inamaana sana kwa nchi afadhari isiwepo kabisa. Hawa jamaa kwanza inatakiwa wafungwe ulishawahi kuona wapi uniform 15 zikanunuliwa kwa dollar 50000 tena kutoka China? Unapouliza...
Back
Top Bottom