Dama rahisi ya kunguni mafuta ya taa ukimwagia tu anakauka kwa wale wanaobana kwenye nyufa za kitanda nunua silinge unavuta mafuta na kuwanyunyiza ila ni zoezi la kila siku kwani mafuta hayaharibu mayai hivo unasubiri wakianguliwa unawa baada ya siku chache hutawaona utalala unono: tahadhari...
Bringing life to the Red Planet - Obama plans to send astronauts to Mars by the 2030s In a CNN essay, the US President has vowed to send people to Mars in 14 years by partnering with private industry.
Companies are reportedly working on building habitats to transport astronauts on deep space...
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amezindua jumba jipya makao makuu ya Umoja wa Afrika ambalo limepewa jina la rais mwanzilishi wa taifa la Tanzania, Julius Nyerere. Jumba hilo ambalo jina lake kamili ni Jumba la Amani na Usalama la Julius Nyerere limejengwa kwa ufadhili kutoka Ujerumani...
Magonjwa ya akili yapo ya aina nyingi na mengi huwa hayatambuliki kwa urahisi kwa jamii na hata kwa watoa huduma wa afya na hivyo wagonjwa wengi huchelewa kupata matibabu stahiki. Aidha wagonjwa wa akili wamekuwa wakibaguliwa na kunyanyaswa na jamii kutokana na imani potofu katika jamii yetu...
Gazeti la Jambo leo limeripoti kuwa Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, watoto na wazee, Ummy Mwalimu amesema utafiti unaonesha kuwa kwa kila watu wanne duniani , mmoja ana matatizo ya afya ya akili. Kwa mujibu wa Waziri Ummy wananchi wanapaswa kuwa makini kuchunguza afya zao za akili...
Viongozi wakuu wawili wa taasisi mashuhuri ya Kiisilamu nchini Morocco walitiwa mbaroni wiki iliyopita baada ya kukutwa wakifanya tendo la ngono nje ya ndoa. Wawili hao, Moulay Omar Benhammad na Fatma Nejjar, walikuwa katika nyadhia za Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili wa taasisi ya Unicity and...
India’s forgotten jungle dwellers An African-origin ethnic tribe of about 20,000 people has been living in near total obscurity in India for centuries. By Neelima Vallangi 4 August 2016 The past few months in India have been mired in controversy due to a string of racist and fatal incidents...
Serikali ya Marekani imeahidi kuipatia Tanzania dola milioni 407 fedha za msaada miezi kadhaa baada kukatiza ufadhili kama huo kufuatia uchaguzi inaodai ulikiuka demokrasia. Shirika la Marekani Millenium Challenge Corporation MCC lilifutilia mbali msaada huo wa kitita cha dola milioni 473 mnamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.