Recent content by Magudu

  1. M

    Mume wangu ananinyima unyumba

    Si kweli Mimi ninamiaka 60+ na Mke wangu miaka 53 na tunapiga mechi kama kawa, nakubaliana la kiafya, mshikaji wake lazima anatatizo, alafu hata kama kaichoka lazima kungekua na dalili za uchepukaji!!
  2. M

    Mume wangu ananinyima unyumba

    Monica2 Lazima Mzee anatatizo si BURE ama amepigwa kipapai au jogoo hataki, nenda pole pole
  3. M

    Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Je hivyo vipande ni vingapi na vikae kwenye maji ya namna gani, baridi, joto?? navyo vitakka humo kwa muda gani pia??
  4. M

    Uongozi wa Bunge: Mkopo wa gari kwa Wabunge ni Milioni 90, hautaongezwa

    hili ndilo swali KUBWA SANA!!! naomba jibu!
  5. M

    Lowassa ahoji maswali matatu kwa Magufuli

    Hongera sana Esther!!! Uko sahihi kabisa huwezi kukosoa usiyemtambua!!!
  6. M

    Maalim Seif: Nimekusanya matokeo kutoka vituo vyote ninaongoza, aitaka ZEC imtangaze mshindi

    Sawa inawezekana kashinda yeye ni Kura 200,007 na Dr Shein 178,363 jumla 378,370! wapiga kula ni zaid ya 500,000, je kura zaidi ya 121,630 zimeenda wapi??
  7. M

    Tanzia: Mwandishi wa Habari, Edson Kamukara afariki Dunia kwa ajali ya moto wa gesi

    Poleni sana wote Ndugu jamaa na marafiki, huu ni msiba wetu wote!! Je hiyo ajali ilikuaje ili watu tujifunze kua Gas ni ya tahadhari?? Poleni sana MUNGU amrehemu Edson amin!
  8. M

    Kumbe Maofisa balozi za Tanzania nje ya nchi wanaringa hivi?

    Pole sana, nadhani ni bora umekutana na huyu (mtoto wa Naniihii) ungekutana na Balozi mwenyewe najua asinge kukusaidia hujuni huu usemi wa kiingereza?/ Like Father like son?? Pole ndiyo majanga yenyewe hayo kazi za kupeana kindugu!!
Back
Top Bottom