Recent content by magu sam

  1. magu sam

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Anatupeleka Nchi ya ahadi
  2. magu sam

    JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Magufuli Afrika Kusini, Namibia na Zimbabwe

    RAIS MAGUFULI S. AFRIKA NA NAMIBA. Watanzana kufundisha Kiswahili S.A na NAMIBIA Katangaza ATCL kwa kusafiri nayo Katangaza vivutio vya utalii kwa kugawa picha na vinyago. Katangaza fursa za wageni kuja kuwekeza Tanzania. Kakuza urafiki na mahusiano baina ya nchi hizi rafiki
  3. magu sam

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ripoti ya CAG kuwasilishwa Bungeni, Ndugai anatakiwa ajiuzulu au wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani naye

    wewe utakuwa pandikizi kutoka bujumbura kwa kweli sasa wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani na Spika kwa hoja gani ya msingi, tusipende kukuza vitu visivyo na tija kwa Taifa. Tukumbushane tu kuwa Azimio la Bunge ni kutofanya kazi na Profesa Asad na si CAG
  4. magu sam

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Mheshimiwa Rais asipewe utukufu wa Mungu!

    Heading yako; Unamweleza Askofu asimpe Utukufu Rais!!,ni kwa Namna ipi kauli yako hii!!?,Aliyoyasema MWANRY (SIYO RAIS) unamhusishaje Askofu kumpa Rais Utukufu!!!?,mwisho unakwepa Jukumu la kuchunga kondoo kwa Mafundisho kama haya!,bado unamtaka mheshimiwa Rais afanye afanye kazi hiyo!!,TIMIZA...
  5. magu sam

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, Magufuli ni muumini kama waumini wengine! Vinginevyo toeni ufafanuzi kwa umma

    WAKATI WA NYERERE HADI MZEE KIKWETE WALIKUWEPO WATUMISHI HEWA...WAKATI HUU WA MAGUFULI WAMETUMBULIWA!, WAKATI HUO MADINI YETU NA MALI NYINGINEZO ZA NCHI ZILIIBIWA ....WAKATI HUU WA MAGUFULI WEZI WOTE WAMEKAMATWA WAKO GEREZANI NA WENGINE WANAENDELEA KUFILISIWA!!, WAKATI HUO HAPAKUWEPO NA MITANDAO...
  6. magu sam

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Magufuli zimejaa masimulizi zaidi ya Mipango Mikakati na Motisha kwa Wananchi

    Kweli nimeamini watanzania ni wanafiki. yaan ni wa kwanza kulalamika kuwa mambo yanaendeshwa kimya kimya bila wananchi kujua. Sasa Rais akijaribu kuwaeleza kinachojiri ndani ya nchi yenu hamtaki mnalalamika tena. Yaan kwa kifupi hamna jema. Ila mmefeli mtachonga sana na bado atatoboa tena 2020.
  7. magu sam

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba

    kapro shivji kadogo shikamoo ngoja niendelee kusoma na kuelewa "CAG atawasilisha kwa Rais kila taarifa atakayotoa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (2) ya ibara hii JMT ibara ya 143 (4) "
  8. magu sam

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ana jipya gani? Nilijua tu rangi yake halisi itaonekana kabla ya 2020

    Yaan watu wenye stress za maisha utawajua tu. sioni hata kimoja chenye mantinki eti ajira hakuna watu wanakufa. Yaan akili yako yote ipo kwenye kuajiriwa badala ya kujiajiri hiyo ni roho ya kimaskini. Nani anayeweza kufa kwa kukosa ajira? huna jipya jipange hapa kazi tu
  9. magu sam

    JamiiForums Tanzania Magufuli amejibu maswali magumu 2020

    kwani hivyo alivyoanza navyo sio vipaumbele jamani?
  10. magu sam

    JamiiForums Tanzania Magufuli amejibu maswali magumu 2020

    ni kweli maana ndo kwanza ana miaka minne kazini hiyo nusu ya miaka 10 hajafika bado na amefanya makubwa nchi hii
  11. magu sam

    JamiiForums Tanzania Magufuli amejibu maswali magumu 2020

    Serikali ya JOHN Pombe Joseph Magufuli iliahadi wakati wa uchaguzi 2015. Na haya ni baadhi ya mafanikio ya JPM, Ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR ) Ujenzi wa bwawa la umeme Stigler George Ujenzi wa Mfugale fly over (TAZARA). Elimu bure kuanzia Shule ya Msingi mpaka Sekondari kafufua shirika la...
  12. magu sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

    Wachambuzi wa mambo wameona hicho, naamini watanzania pia wanaliona hilo na kuachana na siasa uchwara za wapinzani
  13. magu sam

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni sehemu ya mkakati mkubwa ndani na nje ya Chama wa Kumtoa Magufuli Ikulu

    Mwacheni mzee wa Monduli, keshasema karudi nyumbani, mnataka nini tena? Mbowe hatoshi nini??? Propaganda zitawamaliza
  14. magu sam

    JamiiForums Tanzania Serikali kufungua soko la madini ya Dhahabu Geita

    HONGERA SERIKALI YA AWAMU YA TANO...........HII ITAWASAIDIA WACHIMBAJI WADOGOWADOGO
  15. magu sam

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Tumerejea nyumbani CCM

    kaka karibu nyumbani kumenoga
Back
Top Bottom