Uchaguzi 2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

Muongo wewe hii link yako inakupeleka kwenye home page ambayo hiyo ripoti haipo. Halafu siku nyingine ukitoa hoja kumbuka ni jukumu lako kuitetea kwa vielelezo na sio kuwaambia watu wakatafute vyanzo.
I wish ningekusaidia upate vitu vya ndani.
Hata hivyo jaribu kutafuta maana ni msitu mkubwa.
 
CCM akili zenu mnazijua wenyewe tu, huu utafiti ungekuwa opposite kwenu basi mngesema hao ni MABEBERU wamebanwa na jiwe.
Hayo mkuu ni yako.
Langu lilikuwa tu ni kuleta uzi kulingana na EIU report.
 
naweza kukuthibitishia kwamba nusu ya wabunge wa ccm hawakushinda uchaguzi ule , mfano halisi ni Mbunge wa Kyela Harrison Mwakyembe na mbunge wa Rungwe Saul Amon
Kwa hivo wabunge wa vyama vya upinzani WALIWEKWA na CCM?
 
Habari za utafiti wa hivi karibuni toka shirika amaTaasisi ya kimataifa ya Intelijensia ya Kiuchumi/ Economist Intelligence Unit/EIU lenye makao yake makuu jijini London Uingereza, limetoa matokeo yake ya kitafiti kuhusu UCHAGUZI ujao wa 2020 wa Tanzania.
Taasisi hiyo ya kimataifa ambayo ndo think tank kuu ya mambo ya kimataifa katika Nyanja za KISIASA, KIUCHUMI n.k.imetoa utafiti wake.

Miongoni mwa kazi zake kuu ni kufanya Utafiti/Research na ANALYSIS/ UCHAMBUZI ili kupata MATOKEO/ PROJECTION za nchi mbali mbali kuhusu Siasa na Uchumi na hivyo kubashiri wakiwa wamelenga shabaha kabisa/ Accuracy katika ubashiri wao.

Kulingana na Tafiti na Chambuzi zake za hivi karibuni zinazohusu uchaguzi wa Tanzania wa mwaka ujao wa 2020,
Rais Magufuli anategemewa kuchaguliwa tena kwa kura nyingi sana kuliko uchaguzi uliopita wa mwaka 2015.

Tafiti zao zinaonyesha pia kuwa, chama cha CCM kitachukua viti vingi sana vya UBUNGE na hivyo kuvinyima vyama vya upinzani nafasi nyingi za UBUNGE.

Tafiti zinasema pamoja na kuwa vyama vya upinzani vimejaribu sana bado CCM itapata ushindi mkubwa sana na hivyo kuifanya Tanzania kubaki nchi iliyo na Stability/AMANI kwa miaka mingi ijayo.
Chanzo: IEU.
Taasisi za wale MABEBERU au WENGINE..??
 
Ingia m
Huu utafiti umefanyika kibarazani lumumba. hakuna link yoyote zaidi ya porojo porojo tu

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
Mkuu ingia msituni tafuta.
Link-www.eiu.com
kazi kwako
 
Ndo hao Wazungu. Hawana namna bali kutoa kile wanachokiona kitatokea ama vipi mkuu?
Nishangaacho ni kwamba, hao wazungu, wakisema tofauti na mategemeo yao WANAITWA MABEBERU... ila wakisema vile wanavyotaka wasikie.. WANAKUWA WATAFITI WA KIMATAIFA
 
Wapinzani wamejitahidi kufanya nini? Huo utafiti ulipaswa kujua kwamba vyama vya upinzani haviruhusiwi kufanya siasa? Upuuzi tu
 
Wachambuzi wa mambo wameona hicho, naamini watanzania pia wanaliona hilo na kuachana na siasa uchwara za wapinzani
 
Nishangaacho ni kwamba, hao wazungu, wakisema tofauti na mategemeo yao WANAITWA MABEBERU... ila wakisema vile wanavyotaka wasikie.. WANAKUWA WATAFITI WA KIMATAIFA
Mkuu sidhani kama ni kweli usemavyo. Kwani ni lini walipopewa jina mabeberu?
Maana term hii MABEBERU ilikuwa ikitumika enzi za ujamaa, . Mbona sijaikia tena?
 
Back
Top Bottom